Ni mawazo yako tuHajui ilo, anahisi atamlithi yeye Magufuli au atakuwa RC wakudumu
Hivi kwako wewe binafsi katiba mpya ishawahi kuwa kipaumbele chako??unapowaza kumwongezea huyo miaka umeshawahi fikiria ajae baada yake atakavyocheza na katiba kwa matunda haya haya mnayopanda sasa hivi??tatizo unafikiri urefu wa kivuli chakona hujawahi shughulisha akili yako kuhusu aftermath ya uongozi wa jiwe.Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.
- SGR nchi nzima
- Umeme wa Stiggler
- Tanzania ya viwanda
- Nchi ya uchumi wa gesi
- Nchi ya uchumi wa Katie
- Tanzania Kuwa a donor country
You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.
P.Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Kukataa kufanya jambo/agenda za kitaifa kwa sababu ya "siyo agenda yangu" na jamii ikaridhia ni udhaifu wa hali ya juu wa jamii husika kwa ujumla wake.Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.
- SGR nchi nzima
- Umeme wa Stiggler
- Tanzania ya viwanda
- Nchi ya uchumi wa gesi
- Nchi ya uchumi wa Katie
- Tanzania Kuwa a donor country
You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.
P.Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Mkuu Fenestra Rotunda, tukimpa JPM muda wa kutosha, the aftermath niHivi kwako wewe hujawahi shughulisha akili yako kuhusu aftermath ya uongozi wa jiwe.
Mkuu Unaweza, hili niliwahi kuliulizia humu.Kukataa kufanya jambo/agenda za kitaifa kwa sababu ya "siyo agenda yangu" na jamii ikaridhia ni udhaifu wa hali ya juu wa jamii husika kwa ujumla wake.
Wewe kweli MINYOO Pascal alishasema Hana shida na uongozi, wewe Ni nani wa kumlazimisha?Paskal mayala inajulikans siku zote anawainda vyeo vitatu huko CCM, ukuu wa wilaya katibu Tawala na ukurugenzi lakini inaonekana magufuli kaamua kuziba masikio na macho kama hamuoni vile.
Ana angalia nyuma haangali anapo kwenda.Hivi kwako wewe binafsi katiba mpya ishawahi kuwa kipaumbele chako??unapowaza kumwongezea huyo miaka umeshawahi fikiria ajae baada yake atakavyocheza na katiba kwa matunda haya haya mnayopanda sasa hivi??tatizo unafikiri urefu wa kivuli chakona hujawahi shughulisha akili yako kuhusu aftermath ya uongozi wa jiwe.
Haha Mkuu Pasco, Lumumba hapa hawatakuelewa na wanaweza kukushangilia kweli hasa yule mwanaharakati huru 😂Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.
- SGR nchi nzima
- Umeme wa Stiggler
- Tanzania ya viwanda
- Nchi ya uchumi wa gesi
- Nchi ya uchumi wa Katie
- Tanzania Kuwa a donor country
You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.
P.Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Niliposoma msg yako nilidhani kuna analysis unayoifanya juu ya tawala hizi, kumbe una hasira zako tu na utawala. Kwa nini umetumia neno washamba? Washamba ni watu wa aina gani kwa tasfsiri yako? Ni suala la elimu au ni tabia gani inahalalisha ushamba? Au wacheza disko ikulu ndo kinyume cha ushamba? something is wrong with you!Awamu ya 5 ndio maajaabu kabisa imezungukwa na washamba sana
Leo hii Kina Makonda wanadhani wako juu ya sheria au ndio wenye nchi mpaka wanasahau mipaka ya kazi zao, ngoja wale mambo ndio wakati wao
Wakae wanajua mwaka 2025 kutakuwa na mwingine ambaye atakuwa na utaratibu wake
Acha wivu utakuua, wewe si mwanaccm au kwakuwa hujapata uteuzi roho inakuuma.Nimewahi kusikia maneno kutoka kinywani Kwa Mzee wangu (Mkemia mkuu mstaafu)
Anasema Nyerere alikuwa na Udhaifu mmoja Wa kupendelea majina yale yale Kwa Kila kazi
Unasikia Yuko wapi Jakaya, utasikia John (yaan Malecela sisemi Magufuli)
Utasikia Samweli , Mara utasikia Butiku, au Warioba, na kipenzi chake saana alikuwa SALIM AHMED SALIMU
ila pamoja na kwamba aliwapendelea hakusita kuwakemea wanapofanya upuuzi
Ukaja wakati Wa Mwinyi akawaweka wote chini akaanza na Wa kwake
Ni wakati wao walitesa sana,
Wakati Wa Mkapa kuna kina Masilingi, Kina Zimbihile kina Kinyondo, kina Zombe, Kina Yona na Balali,
Wakati Wa Kikwete Kina Makamba, Kina Sadik hata Lukuvi wametamba
Awamu ya 5 ndio maajaabu kabisa imezungukwa na washamba sana
Leo hii Kina Makonda wanadhani wako juu ya sheria au ndio wenye nchi mpaka wanasahau mipaka ya kazi zao, ngoja wale mambo ndio wakati wao
Wakae wanajua mwaka 2025 kutakuwa na mwingine ambaye atakuwa na utaratibu wake
Sukuma empireYes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.
- SGR nchi nzima
- Umeme wa Stiggler
- Tanzania ya viwanda
- Nchi ya uchumi wa gesi
- Nchi ya uchumi wa Katie
- Tanzania Kuwa a donor country
You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.
P.Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Naunga mkono hoja Pamoja na mapungufu madogo madogo ila Anko Magu awe Rais wa Maisha na Chama kiwe Kimoja tu CCM Peke yke...Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.
- SGR nchi nzima
- Umeme wa Stiggler
- Tanzania ya viwanda
- Nchi ya uchumi wa gesi
- Nchi ya uchumi wa Katie
- Tanzania Kuwa a donor country
You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.
P.Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Pole sana!In some hapo na uangalie target ya bandiko, maana watu hamchelewi kusema ni kuusaka UDC!.Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
P
Mnhh..!! Taratibu ndugu.Unat***wewe
Asante Sana.Pole sana!
Hii namba 42 imeharibu hivyo vingine vyote bora usingeiwekaMkuu Fenestra Rotunda, tukimpa JPM muda wa kutosha, the aftermath ni
He only needs ample time kuikamilisha hayo tote, kipindi cha miaka 10 ni kifupi, hakitoshi, hivyo muda ukifika huo muda, Watanzania wazalendo wa kweli, watafanya the right decision kwa malachi ya taifa.
- Tanzania ya viwanda
- Tanzania ya Uchumi wa Gesi
- Tanzania ya Uchumi wa Kati
- Tanzania Donor Country
- Tanzania Tajiri
- Tanzania isiyo na umasikini
- Tanzania isiyo na mariachi
- Tanzania iliyofuta ujinga
- Tanzania free of corruption
- Tanzania isiyo na ufisadi
- Tanzania ya neema
- Tanzania ya upended
- Tanzania ya matumaini
- Tanzania ya religion ya SGR
- Tanzania ya umeme wa Stiggler
- Tanzania ya ATC kama Ethiopian Air
- Tanzania ya Barbara za Juu kwa juu
- Tanzania ya kutovaa mitumba
- Tanzania ya uwajibikaji
- Tanzania ya transparency
- Tanzania ya demokrasia ya Kiafrika
- Tanzania ya haki
- Tanzania ya haki za binaadamu
- Tanzania ya haki za kisiasa
- Tanzania ya haki za kujieleza
- Tanzania ya freedom of the press
- Tanzania ya Tume guru ya uchaguzi
- Tanzania yenye neema ya lila kitty
- Tanzania ya chi ya ahadi
- Mabomba nchi nzima yatatoa maji, maziwa na asali.
P
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.
- SGR nchi nzima
- Umeme wa Stiggler
- Tanzania ya viwanda
- Nchi ya uchumi wa gesi
- Nchi ya uchumi wa Katie
- Tanzania Kuwa a donor country
You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.
P.Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
[/QUOTE
Sawa mwanasheria ....