Ni wakati wa mavuno kwa waganga wa kienyeji na madalali wao

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,845
Machoni pa wengi tunakataa kuwa hakuna ushirikina lakini nyuma ya pazia tunauabudu tena kwa heshima zote.

Ni kipindi kuelekea uchaguzi mkuu. Karibia kila mgombea anatafuta support na booster ya nguvu za giza.

Kuna fedha nyingi sana zinawekezwa kwenye hili eneo na ni wakati wa waganga kuzipiga bila huruma.. Udalali uko kila mahali. Hata kwenye ushirikina pia.. Hivyo kipindi hiki ni kipindi cha neema pia kwa madalali wa waganga wa kienyeji...

Ukitaka kujua kuwa ni kipindi cha neema angalia hata yale matangazo ya nguvu za kiume fulimasoni na pesa za majini yamepungua sana.

Yote juu ya yote ni kipindi kibaya na cha huzuni kubwa kwa wanyama kama kuku wa kienyeji, mbuzi na ng'ombe na hata kondoo pia.. Kwa baadhi ya matukio hata watu wanaopotea pia... Na kwa sehemu ajali zinazouwa kwa wingi.

Hiki ni kipindi cha kukuta nazi zimepasuliwa njiapanda ama kukuta vitu vya kishirikina pembezoni mwa barabara, ofisini ama hata kwenye nyua za makazi..
Kipindi hiki familia za waganga wa kienyeji wanazikinai nyama.. Wanakula supu, wanachoma, wanaoka, wanabanika, wanakaanga..

Vichwa hawali
Makanyagio hawali
Utumbo hawali.. Wanatupa.. Ni full kujiachia

Ni kipindi cha kumsahau Mola kwa muda na kufanya makafara na mazindiko ya kila aina.. Ni kipindi cha kuwa mateka kwa muda.. Mateka wa waganga kwakuwa utafanya kila atakachokuambia bila kuhoji.. Hata akikwambia kamlale mwanao wa kumzaa hutakataa na utafanya kwa utiifu mkubwa

Kuna hasi na chanya kila mahali.. Watakaofanikiwa utawaona nyumba za ibada wakimshukuru Mungu.. UNAFIQUE..! Watakaokosa wataambiwa walikosea masharti na watalia kimya kimya...

Wanasiasa hawa waone hivi hivi....
View attachment 1509186
 
Kwa sasa usishangae sana ukikutana na hivi vilinge maeneo tulivu.. Jua tu hapo anatengenezwa mtu
FB_IMG_1594963268725.jpg
 
Kipindi hiki hata bundi anayeumwa macho akitua kwa bahati mbaya karibu na makazi yako ni shida.. Fasta utamtafuta mtaalam engineer wako.. Naye asivyo na dogo atakujaza woga wote.. Mwisho utalainika mlenda umesingiziwa
FB_IMG_1594963485950.jpg
 
Tuombeee tu Waganga wasiwaombe Mifupa ya Wenye ulemavu wa ngozi kama ilivyowahi kuvuma kipindi cha nyuma, lkn makafara hayaepukiki kwa Ulozi wa Kiafrika kikubwa tuchukue tahadhari.
 
Taasisi zinazojishughulisha na uhifadhi wa wanyamapori nao wanatakiwa kuwa ngangari kwa doria na upelelezi wa kina

Vinginevyo wanyamapori pendwa kwa Ulozi watakuwa taabani kwa majeruhi na vifo na kuacha uzao wao ukiteseka.

Wanyama kama 1- fisi
2- Simba
3- Nyumbu
Nk.
 
Niliwahi sikia story ya Vero simulizi akiwa redio ya mama yule,

Alisema kulikuwa na baba mwenye mafanikio makubwa.

Huyo baba alikuwa na watoto wawili aliozaa nje ya ndoa ila na kwenye ndoa alikuwa na mke na watoto wanne.

Ikaenda ikafikia yule baba alimjengea bi mdogo nyumba ya gorofa ni dar lakini nyumba ikawa na maruweruwe haikulalika, yaani bi mdogo akaikimbia nyumba.

Bi mdogo akija kuwa na maisha yake na watoto wake japo binti yake mkubwa alikuwa mlemavu, yaani wale watoto wanaozaliwa na ulemavu mkubwa.

Ikaenda kijana wa bi mdogo akahitimu chuo akapata ajira ofisi za kimataifa.

Hapo baba anawasiliana na mwanae, japo mama alikuwa hapendi,

Kukatisha, kijana anakaacha kazi akarudi kusimamia miradi ya baba.

Baba akafa, kijana akashauriwa aende kwa waganga maana hata baba alikuwa anaenda kwa mganga na baba alikuwa analala na vichaa yaani ndo anafanikiwa.

Kijana akaambiwa amlale yule dada yake mlemavu, hapo wameshahamia mjengo mkubwa alionjengea mzee wake na tayari mzee keshafariki.

Kijana akaenda kumlala dada yake, mlemavu na ikawa ni tabia yaani kila mara, dada akapata ujauzito, wakati wa kuzaa dada akafariki.

Ikafikia sasa amuue mama mzazi ili mafanikio yaendelee, akashindwa kufanya hilo.

Kijana ni tajiri ila mama mkubwa keshaua, wafanyakazi wake ndo wanakufa kila leo,

Mwisho aliposhindwa kumuua mama mzazi kijana akawa kichaa,

Miaka nane yuko maporini.

..... Baada ya maombi alikuja kupona ukichaa ila mali zote zilipotea......

Sijui mwisho wa uganga huwaje, Mshana Jr hivi kuna uganga wenye mwisho mwema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafara za ngono
 
Kafara halina rivasi
 
Mamdenyi kwa ku 'compile' simuluzi ya kitabu kizima kwa page 1 nimeamini wewe ni msomi mzuri. Umenifurahisha.
 
Kipindi hiki ndiyo kipindi cha waganga kununu mabati ya kezekea nyumba, siku hizi wame up grade hawanunui baiskeli ni pikipiki na kuongeza wake.
 
Back
Top Bottom