MTAKA HABARI
Senior Member
- Jan 17, 2019
- 123
- 149
Kwa wachezaji walioanzishwa kipindi cha kwanza uwezo wao umeonekana mdogo sana na mashambulizi yamekuwa makali sana, ili tusiendelee kuruhusu magoli kuwa mengi kwa niaba ya mashabiki wa timu na bila kusubiri kocha aseme lolote
Naomba watu hawa wavae jenzi ili kurudisha uhai wa timu. Najua uwanjani tutakuwa tumezidi maana wachezaji waliojaribu kipindi cha kwanza hawajakata tamaa na kocha yuko kimya kana kwamba magoli yanayoingia yana baraka zake.Japo usoni hana furaha kabisa.
Haya ni mawzo yangu mimi mshabiki kindaki ndaki wa timu hii ya wanyonge
Sent using Jamii Forums mobile app