Ni wakati sasa tupate mrejesho wa tulipofikia sakata la korosho

Zawadi B Lupelo

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
2,549
3,722
Ni wiki kadhaa sasa toka serikali itangaze kuwa itanunua korosho zote na kuwalipa wakulima.

Mpaka sasa serikali kupitia wizara ya kilimo ipo kimya, haijulikani ni korosho tani ngapi zimenunuliwa na nani amelipwa. Hawa wakulima wanaishije? Hali zao zipoje?

Nadhani ni wakati sahihi kwa serikali kupitia wizara ya kilimo kutangaza kuwa imenunua tani ngapi mpaka sasa na zoezi linaendeleaje. Hatuwezi kupotezea swala nyeti namna hii, hii nchi imekuwa ya matukio likiisha hili linaibuliwa lingine hapana hili tuhakikishe linaisha kwanza.
 
Kilio Cha Samaki Machozi Inakwenda Na Maji
Watu Wamelima Korosho Wapo Hoi Hawana Hamu. Yaani Mengi Sana Hayasemwi
Zimwi Likujualo Halikuli Likakwisha
 
Ni wiki kadhaa sasa toka serikali itangaze kuwa itanunua korosho zote na kuwalipa wakulima.

Mpaka sasa serikali kupitia wizara ya kilimo ipo kimya, haijulikani ni korosho tani ngapi zimenunuliwa na nani amelipwa. Hawa wakulima wanaishije? Hali zao zipoje?

Nadhani ni wakati sahihi kwa serikali kupitia wizara ya kilimo kutangaza kuwa imenunua tani ngapi mpaka sasa na zoezi linaendeleaje. Hatuwezi kupotezea swala nyeti namna hii, hii nchi imekuwa ya matukio likiisha hili linaibuliwa lingine hapana hili tuhakikishe linaisha kwanza.
Kwetu tyar tumelipwa jana,, nipo Lulindi Masasi,,, leo watu wamejaa mahela tu
 
Uko na tani tano na huna shamba, imekula kwako.!
Jifanye Sasa Kama Unajikuna Uone
Kule Kama Umesikia
Kuna Ule Utaratibu Hata Kama Huna Shamba Ukaenda Na Cash Kidogo Ukanunua

Sasa Ukiambiwa Tuonyeshe Shamba Haa
Ndiyo Mzigo Unaondoka
 
Ni wiki kadhaa sasa toka serikali itangaze kuwa itanunua korosho zote na kuwalipa wakulima.

Mpaka sasa serikali kupitia wizara ya kilimo ipo kimya, haijulikani ni korosho tani ngapi zimenunuliwa na nani amelipwa. Hawa wakulima wanaishije? Hali zao zipoje?

Nadhani ni wakati sahihi kwa serikali kupitia wizara ya kilimo kutangaza kuwa imenunua tani ngapi mpaka sasa na zoezi linaendeleaje. Hatuwezi kupotezea swala nyeti namna hii, hii nchi imekuwa ya matukio likiisha hili linaibuliwa lingine hapana hili tuhakikishe linaisha kwanza.
Kwani hadi sasa umesikia malalamiko yoyote kwa wakulima.Acha kick bwana
 
Inaoneka kuna taarifa za kutia huzuni ila hazitoki rasmi labda kutokana na waandishi kutoweza kupata habari kwa urahisi ukizingatia mabaka mabaka wapo kule.
 
Back
Top Bottom