Kwani serikali inaendeshwa kwa uwepo wa TISS pekee? Unajua jinsi Idara hiyo inavyotumiwa na baadhi ya watu kuviza demokrasia na kuingilia kati CCM inapozidiwa na wapinzani wao?Hapo Ndipo Pabaya Huwezi Kuivunja Tiss
Hilo Ni Jino La Juu Mdomoni Ukiling'oa Kienyeji UnaweZa Kumuuwa Mgonjwa (Serikali )
Bunge lirekebishe sheria husika ili huyo Kipilimba afanye kazi yake ipasavyo.Mpe nafasi Dr. Kipilimba ashughulikie. Hajamaliza hata miaka miwili ujue pale! Vinginevyo, utatufanya tukufikirie na wewe mara tatu nne nne...!
Tatizo kwa Tanzania mnaona kama usalama wa taifa hata mtu akifanya vibaya haguswi huu ni upuuzi kabisa.weledi wa kazi ni lazima uzingatiwe. Hakuna Tatizo unaweza kutengeneza kwa kuondoa uozo.Mkuu TISS sio kama bodi ya korosho kule lindi useme unaweza kuivunja tu anytime...utatengeneza tatizo zaidi ya hili....solution Bunge limuwajibishe sizonje na vibaraka wake tu
UMISHI KAKA TATIZO NI MFUMO UMEKUFA UNATAKIWANaomba kuelewesha tafadhali. Idara hii ikivunjwa watumishi wake inakuaje? wanapelekwa kwenye idara nyingine? au wanakuwa kwenye idara mpya itakayotengenezwa kwa maana kuwa mfumo pekee ndo unabadilika?
Ndio...dirisha la nyumbayako likiwa na nyufa, huvunji nyumba nzima...unless una ma problem ya brainKwa ivo wewe unataka iendelee kuwajibika kwa Rais!?
Ni kwa sababu hiyo hatua ya kwanza kuchukuliwa inapaswa kuwa kujiuzulu kwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa!