Ni wakati gani wafu hufika kuzimu?

Ni wakati gani wafu hufika kuzimu?

We jamaa ni muongo muongo sana alafu unajifanya mjuaji wakati we ni binadam kama bibadam kwingine inshort maisha ni fumbo, huko kuzimu hujawahi kufika wala mbinguni hupajui acha porojo zako
hakuna fumbo lisilo fumbuka na kila mtu sio mtu.watu wana macho manne mkuu.
 
Limitations on thinking capabilities ni jambo baya sana
tatizo wamezigeuza dini zao na sayansi kama ngozi zao,na ndio maana mtu anaambiwa kuna jini anabisha,watu wapuuzi sana.ukikitaja kifo namkumbuka sana Munga tehenani anajua sana yule jamaa kwa waliosoma jitambue wangefahamu vingi.r.i.p
 
tatizo wamezigeuza dini zao na sayansi kama ngozi zao,na ndio maana mtu anaambiwa kuna jini anabisha,watu wapuuzi sana.ukikitaja kifo namkumbuka sana Munga tehenani anajua sana yule jamaa kwa waliosoma jitambue wangefahamu vingi.r.i.p
Alikuwa mentor wangu yule jamaa
 
Upendo wa mungu ni wa ajabu sana aloo, ila ndo hivyo hakuna jinsi

Sisi tunawapenda wanetu ila hatuwatishi tishi hivi, mi babangu wa hapa duniani alinisomesha na kunipa kila alichoweza ila hakukuwa na hii taabu kama hivi sijui ntakusomesha ila unisalimie kila saa n.k, huyu Baba wa mbinguni ni balaa
Ntakusweka kwenye moto
Ntakuteketeza na moto wa kiberiti n.k masharti balaa na Ana matabaka ya kutosha masikini, vipofu, viwete, n.k

Mtu anaua mchungaji na anadunda mtaani
Mtu anatesa wenzie na anadunda mtaani
Mtawala inayesemeka kawekwa na mungu anatesa watu na anadunda tu daadeki.

Any way bandiko lako ni zuri mkuu.
Ngoja tuishi hiyo miaka aliyotupangia tukateketezwe na moto wa milele naana
Njia za mungu si za binadamu, fikra za mungu si za binadamu maamuzi yake si sawa na ya kibinaadamu, hatumii ithabati ya kibinaadamu. ukijua hicho kitakusaidia + kutafuta elimu yake. be serious na matokeo utayaona na huta elewa abadani. ingawa matokeo utayaelewa lakini kwa nini umepata solution huwezi jua hata siku moja. that's how God works my friend
 
Roho ni energy haifi... Roho ni pumzi ya uhai haifi.. Roho ni pumzi ya uhai haikuumbwa...
wakikuelewa hapo nifahamishe bro, watu hawajui kwamba pumzi haikuumbwa bali walipewa instantly baada ya kuumbwa "body " jukwaa la intelligence lina shida kidogo
 
Alikuwa mentor wangu yule jamaa
Elimu bro, ina eneo lake, na watu ha wataki kuitafuta hapo ndipo shida huanzia mtu anahitaji umtafunie na kumlisha kama walivyofanya bibi zetu enzi zileee....!!! bado nakumbuka historia aisee
 
Ni kweli kabisa yeye alipaa hakufa
Kwahiyo bado yuko hai mpaka leo au alishakufa ? Na yuko hai,ni lini alipaa na kama hajafa je mtajuaje amekufa ?

Sababu umethibitisha ya kuwa kila nafsi itaonja umauti.
 
Wakati wa mafunzo yangu huko mbali na baadae kazini nilipata mara si haba wasaa wa kukaa na wagonjwa waliokuwa katika dakika zao za mwisho za kufariki... Wachache nilikuwa nao mpaka roho inaachana na mwili.... Maisha yana vitu vinauma na kuumiza sana... Lakini hakuna maumivu makali kama pale roho inapotaka kujitenga na mwili... Ni tendo moja gumu sana.. Na unayaona wazi mahangaiko ya mfu mtarajiwa....
Nimeshiriki pia mara si haba kuwapokea wafu kwenye chumba cha kuhifadhia maiti(mortuary) na kuwahifadhi wengine hadi wiki na ushee...Nimeshiriki kuwaandaa marehemu kwa ajili ya kuagwa mara ya mwisho na wapendwa wao... Nimeshiriki kuzika kwa udongo.. Na nimeshiriki si mara haba kuwachoma moto marehemu kama utamaduni wao unavyotaka
Kote huko niligundua kitu kimoja kikubwa sana... Kifo sio jambo la maramoja linaloishia hapo hapo... Kifo ni mchakato unaoanzia tangu kutungwa kwa mimba, kuzaliwa, kufa na mwendelezo baada ya kufa..
Mfu anakuwa mfu kwasababu tu roho imetengana na mwili.. Lakini kuna uhai usioonekana unabaki mpaka pale makaburini! Na ndio maana kuna simulizi nyingi za marehemu kabla hawajazikwa na hata baada ya kuzikwa...
Baadhi ya vituko hivyo ni
. maiti kununa ama kutabasamu
. maiti kukunja uso
.maiti kugeuka kidogo
. maiti kukataa kusafirishwa
. maiti kukataa kuvalishwa nguo
. maiti kushindikana kabisa kubebwa nknk

Kuna mkanganyiko mkubwa kwenye imani zetu kuhusiana na swala zima la pepo na kuzimu(akhera) na uhalisia wa mfu kufika kuzimu ama peponi muda gani...
Mchakato wa mtiririko wa kikristo uko hivi
Mateso
Kifo
Kuzikwa
Kushuka kuzimu (kwa tafsiri ya hapa kuzimu kuko chini ya kaburi)
Baada ya hayo yote ndio kupaishwa JUU mbinguni(rejea imani ya kikristo)
Hapa ndio inakuja ile tafsiri ya maneno KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.....

Kwahiyo wafu huwa around mpaka wanapozikwa ndio huenda kuzimu... Wale tunaowaona wakirejea duniani kwa vague images, ndoto hisia nk sio wafu tena bali ni mizimu.... Na kwa taarifa yako ni kwamba wafu wote wako kaburini /kuzimu wakisubiri ufufuo siku ya kiama... Hakuna mfu aliye peponi na hakuna mfu anayekwenda kuzimu direct bila kupitia mchakato husika... Hata kama alipotelea baharini, hata kama alioza porini ama aliungua mpaka kubakia jivu... Roho ndio hubeba mchakato wote na kamwe roho haifi...
Hivi mzimu ni nini hasa ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom