Ni wakati gani wafu hufika kuzimu?

ahsante, ni vema kusema kile unaamini ili mradi huzodoi, hubezi, hudharau wengine lakini kutoa mafundisho muhimu halafu kwa vile Mungu katuumba na utashi wa uchaguzi basi kila mtu anachagua ili mradi unapochagua ujue matoke ya mbeleni hapo ndio mtihani! Hata Adam alijua matoke aliishaambiwa lakini yet akala!

Isaya 58:1 Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.
Asante sana...
 
Bro Mshana Jr je kutokana na experience yako uliyoileza hapa na elimu ya dini mbalimbali uliyoipata, do you still believe in incarnation? Kama ndio, je ni wakati gani mtu anaanza kuincarnate? Baada ya kufika kuzimu au immediately baada ya kufa?
 
Bro Mshana Jr je kutokana na experience yako uliyoileza hapa na elimu ya dini mbalimbali uliyoipata, do you still believe in incarnation? Kama ndio, je ni wakati gani mtu anaanza kuincarnate? Baada ya kufika kuzimu au immediately baada ya kufa?
Hii ina mkanganyiko mkubwa na hapa kuna dhana kadhaa
Je incarnated soul inakuwa imeshaandaliwa? Au inadakwa hapo hapo baada hii ya zamani kuachana na mwili?
Nijuavyo mimi ni kitendo chs split of seconds kwakuwa uhai sio unbreakable chain
 
Tatizo hakuna mtu aliewah kufa halaf akarud kuleta feedback, ukiachilia mbali misukule ,misukule ni mazingaobwe ni ,mwili wa mtu huchukuliwa na kubadilishwa mnyama mfu ,but mda ukifika hata misukule mwenyew hufa,though am young but nilipata chance yakukaa mortuary sikuona kitu chochote ,kuhus mait kukataa kuvaa au kusafirishwa pia ni mazingaobwe
Pia hata Yesu baada ya kufa akaenda kuzimu, baada ya kufufuka hakuwa na mambo mengi sana ya kuzungumza badala yake alikuwa akiwabariki wale wafuasi na kuwaambia washike maagizo yote aliyowaachia na wawafundishe wengine hivyo hivyo. Yesu hakuelezea kwa kina. Mungu atufunulie haya mambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom