Ni vigumu kwa dereva mgeni kuendesha dar

rushanju

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
3,327
Reaction score
5,601
Kwa kawaida kama ni dereva waweza kuendesha gari na unamiriki leseni kiharali unaweza gari mji wowote bila tatizo lolote labda utapata taabu kdg kwenye nchi ambazo zilitawaliwa na wafaransa. Hawa wanaendesha kulia baadala ya kushot kama sisi. Hapa Dar vibao vya maonyo ni tofauti kabisa. Unakuta NO ENTRY lakini unakuta magari yanapita kama kawa. Mashimo makubwa katikati ya barabara mifuniko ya maji machafu imeibiwa lakini watu hawajari kabisa na hakuna warning. Sasa kama nchi ina wataalam na halmashauri zipo hii hali inatoka wapi?
 
Wewe ni mgeni kutokea wapi> nna uhakika si mtu wa Dar.
 
Title yako na contents na conclusion sijaelewa ulikua unataka nini hasa.
 
Karibu Dar mkuu na ujisikie upo nyumbani.
 
Umenikumbusha k2 mkuu.. Juzi juzi pale mtaa wa aggrey mmama m1 wacha atoe macho gari zimeshonana hakuna pa kupita wacha apigiwe mihoni nusu alie hadi jamaa m1 akamuonea huruma akamsaidia kuendesha pakapitika

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni kazi sana kuendesha gari dsm kama ni mgeni. Kuna watu wanavunja sheria na ukiwafuata nyuma ujue utashangaa unakamatwa peke yako. Jitahidi kuepuka safari za kati ya jiji. Tafuta parking uchukue taxi.
 
Wewe ni mgeni kutokea wapi> nna uhakika si mtu wa Dar.

yaani hapo tu unajua jinsi alivyopata shida kudrive.....

Anyway mleta mada jifunze kudrive kimjini mjini..... kuovatake, kuchomekea....hayo mashimo wenzio wanayajua kwahiyo yakariri na barabara za dar mjini usibane sana pembeni mifuniko watu washauza vyuma chakavu kitaaambo.... Na hivyo vibao vya kufunga njia waliziba na magazeti(sijui waliwaza nini) mvua iliponyesha gazeti kwishnehi........(si ajabu mtu alitengeneza dili la kula hela tu si unajua serikali yetu sikivu ilivyo.....)
 
Title yako na contents na conclusion sijaelewa ulikua unataka nini hasa.

Title na content havina uhusiano kabisa, suala la mapungufu ya alama za barabarani si kushindwa kuendesha. Kushindwa kuendesha ambako mimi nilikuwa nataka kuelewa ni kuwa kama ukiwa dereva na hujafika Dar basi unaweza kupata ugumu kutokana na hali jinsi ilivyo labda wingi wa magari, barabara mbili ambazo baadhi ya mikoa hazipo n.k
 
Shida kubwa ni haya magari ya auto, m2 anajifunza siku 1 ya pli yuko barabarani, yaani wanajiona wao ndo madereva wa ukweli na sie wakongwe tunaoendesha kwa kufuata sheria tunaonekana hatujui na washamba wa jiji wakati tumeendesha hapa jijini kwa zaidi ya miaka kumi na tano.
 
na akiona yange yange abane kulia zaidi.

Una trick zote za uendeshaji, naomba lift basi.
Najua unalo

yaani hapo tu unajua jinsi alivyopata shida kudrive.....

Anyway mleta mada jifunze kudrive kimjini mjini..... kuovatake, kuchomekea....hayo mashimo wenzio wanayajua kwahiyo yakariri na barabara za dar mjini usibane sana pembeni mifuniko watu washauza vyuma chakavu kitaaambo.... Na hivyo vibao vya kufunga njia waliziba na magazeti(sijui waliwaza nini) mvua iliponyesha gazeti kwishnehi........(si ajabu mtu alitengeneza dili la kula hela tu si unajua serikali yetu sikivu ilivyo.....)
 
Kwa kawaida kama ni dereva waweza kuendesha gari na unamiriki leseni kiharali unaweza gari mji wowote bila tatizo lolote labda utapata taabu kdg kwenye nchi ambazo zilitawaliwa na wafaransa. Hawa wanaendesha kulia baadala ya kushot kama sisi. Hapa Dar vibao vya maonyo ni tofauti kabisa. Unakuta NO ENTRY lakini unakuta magari yanapita kama kawa. Mashimo makubwa katikati ya barabara mifuniko ya maji machafu imeibiwa lakini watu hawajari kabisa na hakuna warning. Sasa kama nchi ina wataalam na halmashauri zipo hii hali inatoka wapi?

kuna mapungufu mengi ya usalama wa barabarani katika jiji la Dar! hata barabara zenyewe hazitoshi na zilizopo
zimejaa mashimo, alama za barabarani huwekwa lakini hazidumu kwa biashara ya vyuma chakavu !!!
Wakati mwengine inasaidia kuwapatia trafic riziki zisizo za halali !!
 
na akiona yange yange abane kulia zaidi.

Una trick zote za uendeshaji, naomba lift basi.
Najua unalo

Kongosho una helmet nikupe lifti kwenye tukutuku yangu? Uwe na moyo tu, tukutuku tunapita hata kwenye taa nyekundu! Hata katikati ya malori twapita,na sie tunajua kuchomekea wenye magari!

Mradi uwe na ujuzi wa kukwepa,maana ukizubaa utajikuta mvunguni mwa daladala!
 
Last edited by a moderator:
Ungesema dereva mwenye akili timamu na mwenye kufuata sheria hawezi kuendesha dar. Tatizo la dar ni kila mtu kujifanya anajua wakati wote ni mbumbumbu. Watu wanajiishia kinyama bila kufuata sheria kuanzia rais hadi mfagiaje unategemea nini? Ni aibu kwa jiji kama dar kuwa kama uwanja wa mbuzi.
 
Back
Top Bottom