Habari wanajukwaa,
Kwa dhati kabisa kutoka moyoni nimeamua kuandika huu uzi naomba niulize je ni vibaya kwa msichana kufall in love kwa mvulana?maana kusema ukweli wa Mungu kuna mwanamember nampenda sana kiasi kwamba namfikiria muda wote ingawa sijawahi kumwona msaada jamani
mimi ni mume wa mtu... na michepuko kwangu NO..

Nitume mimi nikakuimbishie lol
unaubavu wa kuimbisha kweli... sio na we unakuja unaanza kuangalia chini
mimi ni mume wa mtu... na michepuko kwangu NO..
Ni wewe nini...??? Niambie nije ulipo nikuimbishe
shkamoo mumy....dadii kasafiri tena?
Nikimwambia itakua vibaya?