Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

Muache aende zake, wakati unatoa ulifurahi na kupata amani ya moyo hivyo kuna stress ulizipunguza achana naye
Sasa swali ninalojiuliza,nimtendeje mtu huyu endapo atarudi maana najua atarudi tu tena na uongo mwingi...
 
Naomba nisaidie 100000 nikatibiwe katika burungutu aliloliacha [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Sasa swali ninalojiuliza,nimtendeje mtu huyu endapo atarudi maana najua atarudi tu tena na uongo mwingi...
Utajua hapo hapo baada ya maelezo yake huenda kaibiwa simu[emoji28] [emoji28] utamjibu kwa jinsi ya maelezo yake
 
Kama nakuona roho inavyokuuma kwakupigwa 75000, umeamua kuja kusaka faraja humu
 
Namfikiria binti wa elfu 75 namfananisha na hiyo business card napata picha ya mapera na mitishamba tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hahahaaa hajielewi huyo ndio maana hata sijamjibu..
Mkuu katika kubadilishana mawazo, lolote linaweza likatokea.
Huo mchezo unatumiwa na matapeli ya kiume kuweka picha za malaya wakali.
Ukilipigia linakijibu kwa kutumia magic voice ya kike laini ya kinahaba,unalegea na unatozwa tu.
 
Hivyo ndio vidada cheap, kuna mmoja nilimtoa mahali baada ya kuchat kwa siku mbili akanambia anakuja kuniona nikasema poa, akiwa njian ananicall eti anadaiwa elfu 30 na rafiki yake na anamdhalilisha mbele za watu, nikajua tu ni uongo ila nikamtumia baada ya kujibu ahsante hakupatikana tena lol, baada ya mwezi akanitafuta nilichomfanyia naamini hata shoga ake wa karibu kashindwa kumsimulia.

elfu 30 seriously!!!
 
I m curious to know what you did to her....
 
Mkuu huyo hachelewi sasa ivi atarudi tena analialia.. Atakuja na uongo oooh Simu yangu ilijiblock hapo hapo Mvue Chupi siku moja then utoka kama Filbert Bay
Baada ya kugonga mashine na wewe m'block jumla!
 
Nimecheka sana..Jana nilitoa bia Moja sh 3000/- Ana mtoto wa mwaka mmoja. Nimehofu sana halo ya kachanga
 
Halafu utasema kuwa hujawahi kubeti??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…