Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??


AJAKOSA VINGI, NDO ILIVYO, KWANZA USIJIDAI WEWE NI MGENI UMEKAA UGHAIBUNI NA HAYA UYAJUI, HATA UGHAIBUNI YAPO TU, PIA THIS IS: -70,000 KWAKO NA +70.000 KWAKE, SO SIO KWAMBA AJAPATA CHOCHOTE NA SIO KWAMBA WEWE UJAPOTEZA, ILA UACHE TAMAA, UNAKOELEKEA NIKUPE TAARIFA PIA KA TIGO KANAWEZA PATA MADHARA UKIENDEKEZA VITU VYA WATU
 
Sizitaki mbichi hizi.
Lazima uliomba Papuçhi ndo aka kublock

Paka punguza kuhonga
mkuu hiyo papuchi niliiomba kweli. Na nilikuwa na malengo nayo ya muda mrefu,sasa kwa tabia aliyonionyesha ntaendelea kumtafuta ili nimlize na ajutie kosa lake..
 
Na wewe umeona umepost leo? Watu hatufanani.....
 
mkuu hiyo papuchi niliiomba kweli. Na nilikuwa na malengo nayo ya muda mrefu,sasa kwa tabia aliyonionyesha ntaendelea kumtafuta ili nimlize na ajutie kosa lake..
Mkuu huyo hachelewi sasa ivi atarudi tena analialia.. Atakuja na uongo oooh Simu yangu ilijiblock hapo hapo Mvue Chupi siku moja then utoka kama Filbert Bay
 
Mshamba huyo! Amechezea shilingi chooni,
Afu hivi vindezi hapa mjini haviishi vyenye akili za kitoto namna hiyo.. Mie kuna jamaa yangu juzi alimtumia demu yupo mkoani kama elfu40 ya nauli ili akifika bongo waonane.

Demu akamdanganya mwana kashakuja ila kapitia kwa wazazi wake wataonana baada ya siku 2. Msela akakubali. Baada ya hizo siku 2 demu anataka elfu 20 ya nauli ya bajaj. Mwana akamwambia akodi bajaj akifika atalipa cash, demu nae si akaishia kumblock pia mwana
 
Afadhali mkuu umenielewa. Naona kuna wenzetu wanaona ni utani,ila hawa watu wamebuni njia mpya ya utapeli sawa na wale wanaokwambia housegirl anatokea Namtumbo tuma hela ya nauli.
 
Afadhali mkuu umenielewa. Naona kuna wenzetu wanaona ni utani,ila hawa watu wamebuni njia mpya ya utapeli sawa na wale wanaokwambia housegirl anatokea Namtumbo tuma hela ya nauli.
Ila wengi wao ni kutokuwa na akili ya mbali so anavyo kutapeli hiyo elfu 50-100 anahisi itampeleka mbali kumbe within 2 days ishaisha yote
 
Mkuu hawa mademu wa dar ndio walivyo,wanaridhika saaana na kitumbua kabla hawajala BURGER

Hapo utakuta hako kademu kanajisifia kweli kwa wenzie kuwa kakukomoa,hajajua kama kajikomoa mwenyewe
Lkn kutokana na vyuma vinavyoendelea kubana lazma tu katakutafuta,huku kakijitetea kuwa simu yake iliibiwa

Na kakikutafuta usikakumbushie chochote kile,endelea kujifanya Mjinga tu.
Mpaka hapo siku utakapo kainua miguu juu,Half ndio ukatimue LIVE.
Hayo yalisha nikuta mimi,nikafanya hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…