mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,513
- 7,499
Baada ya safar ndefu na kuona sasa unaingia usiku, nikawa nimepitia mji mmoja hivi nichukue chumba nilale kiufupi nilipata.
Majira ya saa nne usiku akaja jamaa mmoja kuuliza chumba akajibiwa vimeisha kilichofanyika jamaa akamwambia muhudumu anahitaji awatoe wateja wote alafu yeye alipie mara tatu ya tulio lipia.
Punde si punde muhudumu akatugongea wateja tuamke tukatafute guest house nyingine tukarudishiwa pesa zetu na buku tano ya nyongeza kilichofuata jamaa alikusanya magodoro yote akajaza chumba kimoja akayalalia.
Dah kuja kusikia taarifa za jamaa asubuhi kumbe ni mchimba madini kaotea huko asee nililaani sana kile kitendo