Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,129
Si maoni tu,hahahaaaaaShantel nimecheka kweli kitu gani kimekuja kichwani ukaamua kusema hivyo

Dah!!! Huu ushauri sijui niuchukue au sijui niuache, ngoja nitafakari kwanza baada ya kuusomaWakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu
Unajua katika mapenzi unaweza ukaishi na mtu akakupa tabu sana,ila uvumilivu ni kitu cha busara,kwani inawezekana akakusumbua sana,akukera kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu lakini bado unahitaji kuendelea kuwa naye maana licha ya kukukera ,ila anakupenda kwa dhati. kumbuka kuwa uvumilivu ni nguzo ya pekee ili tuweze kufika mbali katika mahusiano ukizingatia kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha.
Tusiachane jamani embu fikiria utaacha au kuachwa na wangapi kama ukiwa si mvumilivu,wakati mwingine mtu anaweza akakukera lakini hakukusudia bado anahitaji uwepo wako hivyo ni muhimu kumsaidia kutokana na matatizo aliyonayo huenda kuna siku ataelewa vipi aishi na mwenzie,ingawa inawezekana ikachukua muda mrefu hasa kama atakuwa hapendi kufanyia kazi ushauri wa mwenzake.
UVUMILIVU NI WA MUHIMU KWANI VINGINEVYO HATUTAFIKA NA PIA NI MUHIMU KUYAGUNDUA MAPUNGUFU ULIYONAYO ILI UJIREKEBISHE.
Ni hayo tu.
<br />mtihani upo katika kujua kama kweli anakupenda........................au ndizo jitihada za kukusomesha wakati wa kuishia umewadia..............uvumilivu makes sense kama upo pande zote..............a two way traffic.....................
Hahahaha!!! Lol..hii kali kweli ShantelMaoni yangu, kuna watu humu jamvini wakiongelea mapenzi naona kushoto kweli kama mkuu TF, unajua kila mtu anamfikiria mtu kutokana na post zake, kwa huyu kaka namwonaga kama padri fulani, asiyejishughulisha na mambo ya mapenzi Nikirudi kwenye mada, kwa kweli ni muhimu kujua mwenzako weakness zake, itakufanya kumwelewa na kuweza kumchukulia kwa namna yeyote, as long as mapenzi yapo, sababu wengine huwa ni wagomvi tu na ugomvi wao haumaanishi hakupende la hasha, ndivo alivyo, uvumilivu kwenye mahusiano ni kitu namba moja
Duh!! Rim nzima tena...lol.. King'asti hebu tafakari tena upya..Aaaahg! Yaani nna draft ya talaka hapa nataka nitwange rim nzima! Ngoja nipate hewa mpya nijifikirie upya!
UmenigusaWakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu
Unajua katika mapenzi unaweza ukaishi na mtu akakupa tabu sana,ila uvumilivu ni kitu cha busara,kwani inawezekana akakusumbua sana,akukera kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu lakini bado unahitaji kuendelea kuwa naye maana licha ya kukukera ,ila anakupenda kwa dhati. kumbuka kuwa uvumilivu ni nguzo ya pekee ili tuweze kufika mbali katika mahusiano ukizingatia kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha.
Tusiachane jamani embu fikiria utaacha au kuachwa na wangapi kama ukiwa si mvumilivu,wakati mwingine mtu anaweza akakukera lakini hakukusudia bado anahitaji uwepo wako hivyo ni muhimu kumsaidia kutokana na matatizo aliyonayo huenda kuna siku ataelewa vipi aishi na mwenzie,ingawa inawezekana ikachukua muda mrefu hasa kama atakuwa hapendi kufanyia kazi ushauri wa mwenzake.
UVUMILIVU NI WA MUHIMU KWANI VINGINEVYO HATUTAFIKA NA PIA NI MUHIMU KUYAGUNDUA MAPUNGUFU ULIYONAYO ILI UJIREKEBISHE.
Ni hayo tu.
Wakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu