Anasomea chuo gani au course ipi? Maana kuna baadhi huwa unakuwa busy hadi kula bata unakusahau.Wakuu Habari za wakati huu?
Heri ya Mwaka jaman kwenu wote.
Hayaa moja kwa moja kwenye mada?
Kuna mdogo wangu anaenifuatia, Bahati nzuri alifaulu tu vizuri kidato cha 6 na pia alifanikiwa kupata mkopo.
Sasa kitu kinachoniumiza kichwa ni kila ninapowasiliana nae kumjulia hali huwa kuna kauli anaisema ambayo kiukweli mimi kama kaka yake huwa simuelewi anachokitaka au anachomaanisha
Kauli yenyewe ni ile ya "chuo kuna bata".
Ukiangalia hata mimi nimepita huko lakini sikuwahi kung'ang'ania huo msemo kama yeye anavyong'ang'ania
Sasa naomba mnipe ushauri jamani huyu mdogo wangu nimchane tu ukweli ili hata ikitokea akiharibu masomo labda kwa kudsco au vipi ajue ni kuwa kayataka yeye Mwenyewe.
Ahsanteni
Tell him the truth!Wakuu Habari za wakati huu?

Wewe ni msomiWakuu Habari za wakati huu?

πππππππππππππMwombe tu akupatie ^bata^ hao ili uwafuge maana soko lao limepanda kuliko biashara ya Mr Kuku