Ni ushauri gani nimpe mdogo wangu aliyepo chuo mwaka wa kwanza sasa?

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,903
Wakuu Habari za wakati huu?

Heri ya Mwaka jaman kwenu wote.

Hayaa moja kwa moja kwenye mada?

Kuna mdogo wangu anaenifuatia, Bahati nzuri alifaulu tu vizuri kidato cha 6 na pia alifanikiwa kupata mkopo.

Sasa kitu kinachoniumiza kichwa ni kila ninapowasiliana nae kumjulia hali huwa kuna kauli anaisema ambayo kiukweli mimi kama kaka yake huwa simuelewi anachokitaka au anachomaanisha

Kauli yenyewe ni ile ya "chuo kuna bata".

Ukiangalia hata mimi nimepita huko lakini sikuwahi kung'ang'ania huo msemo kama yeye anavyong'ang'ania

Sasa naomba mnipe ushauri jamani huyu mdogo wangu nimchane tu ukweli ili hata ikitokea akiharibu masomo labda kwa kudsco au vipi ajue ni kuwa kayataka yeye Mwenyewe.

Ahsanteni
 
Kwanza kbs akae mbali na mzigo au mizigo ya lecture, pili ajitahd asi dsco tatu na la mwisho kbs acheze na hzo bata kwa akili.
 
Wakuu Habari za wakati huu?

Heri ya Mwaka jaman kwenu wote.

Hayaa moja kwa moja kwenye mada?

Kuna mdogo wangu anaenifuatia, Bahati nzuri alifaulu tu vizuri kidato cha 6 na pia alifanikiwa kupata mkopo.

Sasa kitu kinachoniumiza kichwa ni kila ninapowasiliana nae kumjulia hali huwa kuna kauli anaisema ambayo kiukweli mimi kama kaka yake huwa simuelewi anachokitaka au anachomaanisha

Kauli yenyewe ni ile ya "chuo kuna bata".

Ukiangalia hata mimi nimepita huko lakini sikuwahi kung'ang'ania huo msemo kama yeye anavyong'ang'ania

Sasa naomba mnipe ushauri jamani huyu mdogo wangu nimchane tu ukweli ili hata ikitokea akiharibu masomo labda kwa kudsco au vipi ajue ni kuwa kayataka yeye Mwenyewe.

Ahsanteni
Anasomea chuo gani au course ipi? Maana kuna baadhi huwa unakuwa busy hadi kula bata unakusahau.
 
Wakuu Habari za wakati huu?

Heri ya Mwaka jaman kwenu wote.

Hayaa moja kwa moja kwenye mada?

Kuna mdogo wangu anaenifuatia, Bahati nzuri alifaulu tu vizuri kidato cha 6 na pia alifanikiwa kupata mkopo.

Sasa kitu kinachoniumiza kichwa ni kila ninapowasiliana nae kumjulia hali huwa kuna kauli anaisema ambayo kiukweli mimi kama kaka yake huwa simuelewi anachokitaka au anachomaanisha

Kauli yenyewe ni ile ya "chuo kuna bata".

Ukiangalia hata mimi nimepita huko lakini sikuwahi kung'ang'ania huo msemo kama yeye anavyong'ang'ania

Sasa naomba mnipe ushauri jamani huyu mdogo wangu nimchane tu ukweli ili hata ikitokea akiharibu masomo labda kwa kudsco au vipi ajue ni kuwa kayataka yeye Mwenyewe.

Ahsanteni
Tell him the truth!
 
Wewe ni msomi
 
Kaka sio kosa lake nahisi na umri wake unaendana na maneno yake na nahisi kalelewa kuchungwa sana sasa kafika sehem ambayo anaona yupo huru na ana maamuzi juu ya kila kitu.

peleas ongea nae mapema kabda ajaharibikiwa aidha kwa kufeli mitihani (mana najua mpaka sasa hajafanya test wala mtihani wowote ko anajionea bata2) au kutumia vibaya pesa zake za kujikim na kujutia badae. ongea nae kirafiki afanye kilichompeleka mengine ajinyime

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Mwambie chuo kuna ngoma sana sana asimalize chuo mlevi ameenda kusoma tu hapo mengine yote ni ujinga tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom