mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,896
- 3,660
Halafu D.C, mayor nk wapo huko huko dsm! Na wanaozipiga hizo hela wapo hapo hapo dsm. Na Makonda yupo mkoa huo huo.
Mkuu mbona unavujisha mambo muhimu yanayotusaidia?
Ubungo ni stendi ya hovyo kuwahi kutokea, kwa ukubwa wa jina lake na ni lango kuu kwa walio wengi kuingia ‘dasilamu’ ilipaswa kuwa kivutio na ukaribisho wenye picha halisi ya jiji letu pendwa.... mgeni anaingia mjini akiwa na matarajio makubwa ila akishuka Ubungo anakuwa disappointed inabidi uanze kumpa maelezo ya uongo mfano “stendi imevunjwa ipo kwenye matengenezo”.
Sio mchana sio usiku kwanza ni giza na mimaji magari yanaoshwa pale pale, mvua zikinyesha ndo balaa.... wala hakuna vibao elekezi kuwa magari ya mikoa fulani yanapaki upande gani..!!
WhatsApp!Kumbe nawe unahujumu uchumi.
ndio hio hela niliuliza mkuu,nimekuelewaHela naweka kwenye wallet ila pesa iko benki.