Ni upuuzi kutoza 300/- Ubungo Bus Terminal.

Ni upuuzi kutoza 300/- Ubungo Bus Terminal.

Nashukuru kuna mchangiaji mmoja kasema dawa ni kwenda na tiketi tu.
Huduma zote ndani unalipia sasa ile 300 inafanya nini?
Halafu ikitokea umenunua kale katiketi wakati unatoka ukachane ili wasiuze tena wale vijana.
 
Hii kitu ni upuuzi sana yan kuna watu wanasafiri kwa matatizi yao slafu jitu linamzuia eti alipe kwanza 300
Nonsense
 
Hii kero ipo mkoa wa katavi pale mpanda stend wanaita stend ya pinda ukiingia pale utoe pesa yaani kero tupo kwa kweli hapa serikal iliangalie kwa makini ili mtu masikini asiye na kitu apate huduma sitahiki
 
Kaa sawa wasije wakakufat
Nyie huwa mnatoa pesa kumbe [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi nina tiketi zaidi ya 5 kwenye wallet nikifika natoa nawaonesha na kuingia.

Nataka kuandika barua ya kuomba radhi kwa uhujumu uchumi.
A huku huku mitandaoni maana siyo wazembe kwa mambo ya tumbo zao
 
Nyie huwa mnatoa pesa kumbe [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi nina tiketi zaidi ya 5 kwenye wallet nikifika natoa nawaonesha na kuingia.

Nataka kuandika barua ya kuomba radhi kwa uhujumu uchumi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sauti imesikika asanteni JF nimeikuta hii hadi Instagram, kumbe ni kero kwa watu wengi.... tuendelee kupaza sauti kwa pamoja ili Ubungo iboreshwe huduma ziendane na tozo.
 
Nafikiri ni swala ambalo kiukweli linaleta wakati mgumu hasa kwa sisi tuendao kupokea ndugu na jamaa zetu yani utakuta kijana pale yuko tayar kukupiga kisa shilingi mia tatu hii si sawa jaman tutaftiwe ufumbuzi tafadhali
 
Hii ni kero kubwa na inafanyika kienyeji sana, watu wa hovyo wanakusanya ‘ushuru’ kiholela tu na bila shaka pesa wanajipigia tu ndio maana miaka nenda rudi hakufanyiki lolote pale.

Kama airport nasindikiza na kupokea wageni bila kiingilio hapo Ubungo kuna nini?

Hakuna kero kubwa kwa wananchi wanyonge kama hii kutoza watu fedha pale Ubungo ambapo hakuna chochote kilichowekezwa pale. Haya yanafanyika Mkuu wa Mkoa yupo, mkuu wa wilaya yupo, polisi wapo lakini yote haya yanakodoa mimacho tuu hadi Rais atakapo washtua kuwa kuna wizi pale.

Haiingii akilini eti Ubungo napo ni pa kutozea watu ushuru, eti hata ukipita daraja la juu bado unatakiwa kulipia ..! Ni upuuzi gani huu? Hao viongozi wa wanyonge wako wapi? Hili nalo limsubiri Rais au Waziri mkuu alitoleee maelekezo?

TUACHE UZUZU TUWAJIBIKE
 
Nyie huwa mnatoa pesa kumbe [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi nina tiketi zaidi ya 5 kwenye wallet nikifika natoa nawaonesha na kuingia.

Nataka kuandika barua ya kuomba radhi kwa uhujumu uchumi.
Mkuu mbona unavujisha mambo muhimu yanayotusaidia?
 
Back
Top Bottom