Ni upuuzi kutoza 300/- Ubungo Bus Terminal.

Ni upuuzi kutoza 300/- Ubungo Bus Terminal.

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,416
Reaction score
29,401
Hii ni kero kubwa na inafanyika kienyeji sana, watu wa hovyo wanakusanya ‘ushuru’ kiholela tu na bila shaka pesa wanajipigia tu ndio maana miaka nenda rudi hakufanyiki lolote pale.

Kama airport nasindikiza na kupokea wageni bila kiingilio hapo Ubungo kuna nini?
 
Nyie huwa mnatoa pesa kumbe [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi nina tiketi zaidi ya 5 kwenye wallet nikifika natoa nawaonesha na kuingia.

Nataka kuandika barua ya kuomba radhi kwa uhujumu uchumi.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si kampuni ya kingunge ndo ilikuwa inafanya makusanyo, sijui saiz kapewa nani!! Stand ya hovyo kabisa alafu ndo iko dsm, taswira ya nchi!
Pale ubungo terminal pa ovyo sana,unalipia halafu ukiingia vyoo vya kulipia na halafu vichafu vile vile,ile pesa sijui inaliwa na kina nani!
 
Back
Top Bottom