Ni upi ukomo wa idadi ya vyuo ambavyo mtu mmoja anaweza kuomba?

vicbil21

Member
Oct 6, 2020
18
2
Wakuu,

Naomben mnisaidie kam Kuna limit kwamba ukizidi kuapply vyuo vingi haifai.

Msaada.
 
WAKUU:
Naomben mnisaidie kam Kuna limit kwamba ukizidi kuapply vyuo vingi haifai

Msaada.
Ingekuwa unaapply bure hapo sawa.. Ila kwa hela, acha ugawe tu pesa wala hakuna limit. Na hvyo vyuo vyote unavyotaka kuapply ili ugundue nini?

Maana kwa idadi vyuo 3 au umezidi sana vi4 inatosha zaidi hapo ni kugawa pesa tu.. It means hata ukipata hvyo vyoooote 7,8,9 bado utaenda kimoja tu ndugu yangu kwahyo jiamini na jikubali tu
 
Back
Top Bottom