Sawa nimekuelewa. Lakini huu sio uzushi. Na wala sitaita ni bahati kwa sababu bado ni mapema sana.
Swali ni kuwa:
1. Kwa nini chanjo imepelekwa haraka sana wakati ugonjwa huu si hatari kama inavyosemwa?
2. Kwa nini hawaongelei dawa badala yake wamekazania tu chanjo? - Kuna madaktari waliotibu maelfu ya watu kwa kutumia Ivermectin na watu wakapona, lakini dawa hii imepakwa matope kwa kila hali na madaktari hao wamepakwa matope vileivle.
3. Kwa nini hivi sasa wanaongelea kuchanja watoto - mfano kanada na australia - wakati watoto hawana kabisa risk ya kufa na hata kuugua ugonjwa huu?
4. Kwa nini israeli ambayo ndiyo imechanja sana - ndiyo inayoteseka zaidi na kovid? Hivi kinachowatesa ni kovid kweli au ni chanjo?
Mkuu hebu jaribu kumsikiliza huyu nesi kisha unisaidie kufikiria majibu ya maswali haya.