Mungu hawezi kuwa na suluhisho hapa, Akili aliyotupa tuitumie vizuri tu.Mungu ndo suluhisho.
Majaribio ambayo tayari yameshaua maelfu, maelfu wengine wamepata ulemavu, lakini ndio kwanza wanaongeza booster baada ya booster. Wanajua fika kilichomo ndani ya kila chupa - lakini cha ajabu badala ya wao kujitetea kujibu maswali yetu, sisi ndio tuko bize kuwatetea na kukubali kudungwa tusichokijua. So so sad!Hizo chanjo hazina final approval, bado zipo kwenye ngazi ya majaribio na utafiti..........ndo maana hawawezi kuandika maelezo yoyote kwenye hiyo karatasi yanayohusiana na chanjo.
Huo si utaratibu wa uzalishaji wa dawa. Dawa zote huja na maelzo, kwa nini hizi ziwekwe CDC. Kwa hiyo wamesema kwenye hayo maboksi kwamba tukaangalie CDC? Na kwa nini basi waweke mkaratasi mkuuubwa ulio blank?Mbona taarifa hizo zote zipo. Na si kwenye dawa tu. Pita website ya CDC kuna taarifa zote hizo.
Wakati wa kuchanja umeomba leaflets wakakunyima. Unaonaga dawa kama penadur au xpen, zinakujaga na leaflets ngapi?Huo si utaratibu wa uzalishaji wa dawa. Dawa zote huja na maelzo, kwa nini hizi ziwekwe CDC. Kwa hiyo wamesema kwenye hayo maboksi kwamba tukaangalie CDC? Na kwa nini basi waweke mkaratasi mkuuubwa ulio blank?
Duniani kuna uzushi sana.Majaribio ambayo tayari yameshaua maelfu, maelfu wengine wamepata ulemavu, lakini ndio kwanza wanaongeza booster baada ya booster. Wanajua fika kilichomo ndani ya kila chupa - lakini cha ajabu badala ya wao kujitetea kujibu maswali yetu, sisi ndio tuko bize kuwatetea na kukubali kudungwa tusichokijua. So so sad!
Ni kweli mkuu. Waliokufa wala si mia - ni maelfu kwa maelfu - ukiangalia website ya VEARS wanaonyesha. Lakini kwa sababu watu wamekubali kumeza HOFU, wanadhani kila wanachoambiwa na WHO ni cha kweli. WHO inafadhiliw ana bill gate pamoja na pharmaceutical companies. Hao ndio wanaosimamia huu udanganyifuDuniani kuna uzushi sana.
Iweje hii dawa ambayo inaua maelfu isisababishe madhara yoyote kwenye watu zaidi ya mia ambao wamechanja pamoja?
Duniani kuna vita nyingi, umakini binafsi unatakiwa.
Emewahi pewa vials za penadu na leaflets?Unachomaanisha ni kuwa hiyo video ni feki? Au unamaanisha kuwa penadur huja na blank leaflets?
Ninaoongelea ni watu ambao nakutana nao kila siku. ( Binafsi nimeshachoma hiyo JJ)Ni kweli mkuu. Waliokufa wala si mia - ni maelfu kwa maelfu - ukiangalia website ya VEARS wanaonyesha. Lakini kwa sababu watu wamekubali kumeza HOFU, wanadhani kila wanachoambiwa na WHO ni cha kweli. WHO inafadhiliw ana bill gate pamoja na pharmaceutical companies. Hao ndio wanaosimamia huu udanganyifu