Kujaribu kuvunja Jamhuri ya Muungano kwa kisingizio chochote kile cha kisiasa ni uhaini.
Jaribio la upande mmoja kuirejesha kinyemela nchi iliyokwisha ungana na nyingine ni kutangaza secession kutoka kwa Muungano na viongozi wote wanaopanga kufanya hivyo ni wa kutiwa pingu.
of course.. hilo wala siyo hoja; wakitaka watangaze tu kuwa wanataka kutoka nje ya Muungano, wadai kile wanachokiita ni "uhuru". Kikwete awaruhusu kwa sababu sidhani kama ana uwezo wa kuzuia Zanzibar kutoka nje ya Muungano.
.... endeleeni kupiga kura na mkishinda basi tunaachana "salama"..
tatizo wanafikiri kuwa tunazungumza kutoka hewani tu ati tunaitakia Zanzibar mabaya; kama mazungumzo ya watu wawili leo hii (karume na seif) yamechukuliwa kuwa halali na kukumbatiwa yale ya wa Nyerere na Karume nayo yalikuwa na nguvu hiyo. Wazanzibar hawawezi kuwa na keki yao halafu waile huku wabakie nayo. Kama kuna watu Zanzibar wanataka kuwa nchi "nje" ya Muungano, waliseme hilo, kama ni kupigwa kura ipigwe na tuanze mahusiano baina ya nchi mbili.
But as long as we are a United Republic jaribio lolote la kuivunja ni uhaini - as simple as that.
Ni jukumu la kila Mtanzania (yes wapo watu wa taifa hilo) kulinda Muungano ulivyo. Hatupaswi na hatuwezi kuachii kikundi cha watu wachache kuivunja ati kwa sababu hawajisikii. Wazanzibari ambao wanajitambua kuwa ni Watanzania na wapo wengi ni lazima wakatae uhuni huu.
Kama Zanzibar haitaki kuwa ndani ya Muungano kwenye baraza la wawakilishi waseme hivyo mapema, wajitangaze kuwa wanataka kutoka nje ya Muungano na nina UHAKIKA Kikwete na uongozi wa CCM hakuna atakayeweza kujenga hoja za kuzuia kwani mashujaa hao hawapo tena. Basi watoke na kama nilivyosema tuanze uhusiano wa nchi mbili, binafsi wala sina tatizo kabisa. Lakini kama wanataka tuwe wamoja kama nchi ni lazima mpango wao wa kuitangaza Zanzibar kuwa ni nchi sijui madudu gani ukemewe mara moja na KILA MTANZANIA.
Si kwa sababu hatuwezi kuishi bila Zanzibar au wao bila sisi, bali kwa sababu MUUNGANO UPO na ni lazime utetewe kwa gharama yoyote. Kwanini Zanzibar wasipige kura ya maoni kutaka kujua kama wanataka kubakia ndani ya Muungano?
PIGENI HII KURA TUMALIZE MZIZI WA FITINA!!!
viNGINEVYO NI UHALIFU ULIOKUBUHU AMBAO ADHABU YAKE NI KIFO! Uhaini haurembuliwi macho.
Nashindwa kushangaa kuona celebrity wa JF kama MKKJ unaongea pumba kama hizi kama Yussuf Makamba vile! MKKJ wakati unafikiria (endelea kufikiria maana Nyerere hafufuki tena) kuwa jeshi lilinde katiba, you sound like Hitler...Mussolin...Idd Amin and the likes.Sijawahi kufikiria kusema JWTZ liangalia ulinzi wa Katiba lakini wakati huu endapo mabadiliko yanayopendekezwa Zanzibar yatafanyika ni wakati wa kuwaangalia hawa "maadui wa ndani".
I couldn't be more blunt than that.
Mkuu inaelekea wewe ndo unaishi katika mazingira ya kusadikika.You cannot eat your cake and yet have it!Mwanakijiji unaota endelea kuota tu...!
Watch this space mkuu na muwe consistent.You cannot eat your cake and yet have it.Naona watu humu mnataka tu kutengeneza tatizo ambalo halipo, huu muungano whether unavunjwa au hauvunjwi na waznz, wabara u have better things to do, mbona kuna watu tena mnawajua kwa majina wamekwiba mabilioni na mnajifanya hamuwaoni? nashangazwa sana na logic ya miafrika. Kwanini msieke effort kwenye ku-recover hiyo pesa iliyoibiwa mkajenge mashule, barabara na mahsopitali? what r u waiting for? mnasubiri uchaguzi eehh? endeelini hivohivo mtakula siasa zenu uchwara!ur misguided patriotism lacks logic.totally.huwa mnakawaida ya kuilaumu serikali kwa kukosa priority, ile nyie zenu ni zipi?
Znz inachopaswa kufanya ni kujiondoa kwene makucha ya hawa masukule CCM. Whether kwa kuvunja muungano au la, i do support them 100%. It is time waznz kufanya mambo yao na kuangalia future yao..hawa mazuzu wa bara wasiwababaishe, ya kwao yanawashinda seuze yenu?
Nashindwa kushangaa kuona celebrity wa JF kama MKKJ unaongea pumba kama hizi kama Yussuf Makamba vile! MKKJ wakati unafikiria (endelea kufikiria maana Nyerere hafufuki tena) kuwa jeshi lilinde katiba, you sound like Hitler...Mussolin...Idd Amin and the likes.
Ujuwe hilo jeshi unalosema ni la wananchi wa Tanzania-Zanzibar, limeundwa kwa katiba ya Tanzania ambayo wawakilishi wa zanzibar inadaiwa wameshiriki. Uelewe kuwa BLW lipo kwa mujibu wa katiba na maamuzi yake yananguvu ya katiba zote mbili...chombo kingine chochote kitakachoingilia maamuzi yake kitakuwa kinavunja katiba...nakushangaa uonavyo wewe jeshi litakuwa linalinda katiba badala ya kuwa linavunja kwa fikra zako.
Kama katiba inavunjwa...Mkuu remedy yake ndiyo nguvu za kijeshi?
MKkJ, unamkumbuka mwalimu Paul Mhozya..na kesi ya OIC? kenda kumshitaki rais Mwinyi mahakamani na mahakama ikamsikiliza...MKKJ, you are suggesting military intervention for your alleged treason?
Unashindwa kujenga hoja ya maana hata kwenye jambo jepesi kama hili..unakuwa kama mtu wa maskani vile!! Post hii ikiendelea kuwapo hapa utaendelea kujishushia hadhi na heshima yako uliyojijengea kwenye mitandao...you can't talk pumbaz and nonsense like these MkkJ...you are not of such type!
Leo kama wazanzibar wataandika petition kupeleka bungeni au BLW kuwa hawataki tena muungano...katika akili yako unadhani ndiyo JWTZ litaweza kuondoa matakwa ya Wazanzibar kwenye nyoyo zao kwa nguvu za kijeshi...? Angalia tu wakati tunapiga kura ya maoni macho ya ulimwengu mzima yalihamia Zanzibar, leo unavyofikira huo 'uvamizi wa kijeshi' Zanzibar dunia itafunga mikono kukutazameni tu...?
Unadhani iwapo jeshi linavamia Zanzibar, wazanzibar tutafunga mikono tukutazameni mnfavyofanya uhuni wenu...kama mlivyowafanyia Uganda...unajidanganya? au unadhani hilo jeshi lenyewe litabaki kama lilivyo baada ya kitendo hicho...kumbuka vijana wetu wazalendo, wapenda na wenye uchungu wa nchi yao ya Zanzibar pia wamo humo humo JWTZ, so unazungumzia CIVIL WAR THEN not military intervention any more...?
Mkkj, kama bado unafikiria hivyo basi ujuwe unaishi na mzimu wa Nyerere "zidumu fikra zake" kwa kuwa kama hivyo ingekuwa ndivyo leo kusingekuwa na nchi kama Eritrea, Bosnia-Hetzegovina, East Timor na karibuni tu Cosovo...and I strongly believe that Zanzibar will, one day, not be the exception..whatever comes may.
Sitaki kusema MKKJ, unakosa heshima, adabu na busara ya kiutu uzima unapoashiria kuwaita Wazanzibar "maaduwi wa ndani", sijuwi ndani ipi! uaduwi upi! wakati walioamua mabadiliko hayo kwa mustakbali wa nchi yao ni wananchi wenyewe wa Zanzibar tena kwa wingi tu na kwa njia halali ya kidemokrasia...nakushangaa unawatangazia uaduwi...sitaki kuanzia leo nikuone kama aduwi wa Zanzibar...unless unafafanuwa ulikusudia nini unaposema "maaduwi wa ndani?"
So mabadiliko ya 10 ya katiba are there to stay...whether you like it or not...ZANZIBAR NI NCHI...tunasubiri jeshi lije...maana wanaoshindwa kwa hoja hutumia nguvu...na hii ndiyo sifa ya tawala za kidhalimu...mfano wa CCM.
Watch this space mkuu na muwe consistent.You cannot eat your cake and yet have it.
Wazenj wametamka kinaga ubaga nia ya kujitoa muungano,tuheshimu matakwa yao.
Patriotism na wizi masuala mbali mbali. Hata majambazi ya mafia walisupport utaifa wao wakati wa vita kuu ya pili

Baada ya kufanikiwa Azma ya kuunda Serikali ya Kitaifa ,Zanzibar sasa wanataka kujitoa kwenye Muungano,haya mabadiliko yaliyozungumzwa kwenye BLW yanaondoa dhumuni la awali la Muungano.Watanzania tu wepesi sana kusahau,lakini wale wanaojua vyema wanamjua vyema Maalim Seif na misimamo yake kuhusu Muungano,mmekwishasahau siku Seif aliyoondoka kwa hasira Dodoma baada ya ubishi mkubwa kuhusu serikali Tatu? Mmesahau kuundwa kwa G-55 baada ya vurugu zile za Dodoma zilizomuondolea Seif U-waziri Kiongozi wake?
Kwa hali ilipofikia ni bora kwenda "solo" kuliko karaha hizi za kuwabeba/lea watu wanaoona wananyanyaswa na kumezwa na Tanzania Bara.Jazba hazitosaidia kitu.Tujadili hatma ya Muungano kwa Uwazi bila Uoga katika ngazi zote.Udhaifu wa Viongozi wa Bara ndio matokeo ya hali hii ya leo.Kikwete,Karume,Seif na Pinda hawatoshi kuwaamulia watanzania karibu millioni 45 wenye misimamo tofauti.Tuwaulize Wananchi wa Bara na Visiwani wao ndio watupe maamuzi ya mwisho kuhusu hatma ya Muungano.