Kwanza nataka nikuambie kitu ni hulka ya wazanzibar popote pale walipo wanajivunia kuwa Wazanzibar kuliko U-tanzania, Uzanzibar unawauma kuliko U-Tanzania, mimi wala sitazami vitu kwa uasili kwa kuwa mawazo ya Wazanzibar wengi haya Reflect na yale ya viongozi wa CCM ambao mpaka dakika za mwisho ndiyo wamekubali kua umma wa Wazanzibar hawataki siasa zao za kinafiki kutoka bara,wanataka mabadiliko na ndiyo maana tupo hapa tulipo saivi na mengi yanakuja inshallah.Junius,
Mkuu wangu pengine wewe unatazama vitu kwa uasilia wa uzawa kuhalalisha matendo ya Viongozi wa Zanzibar. Labda nikupe mfano mzuri sana unaolingana na kile kilichotokea Zanzibar. Pengine unafikiri kwamba Bara hatufahamu au hatuna akili isipokuwa maneno mengi yasiyokuwa na vitendo..
CUF haijawahi kuwa na urafiki na CCM bara kwa Zanzibar imewezekana kwa kuwa CCM bara hawana option ya kuwapa vibaraka wao wa Zanzibar ama wakubali kushindwa uchaguzi ambao hataweza siku zote kuzuia kushindwa kwao kwa mauwaji kila siku, ama wakubali kuwapa CUF serikali kwa mkono mmoja kabla mambo hayajaharibika.Huo muafaka wenu pamoja na hizo kura za maoni ni sawa na CUF wamekubali kuwa mke wa pili wa CCM Bara,
Kwetu sisi Wazanzibar hii ni zaidi ya ushindi, hata wale wachache waliokuwa hawajaelewa sasa wapo nasi mara baada ya kuona mafanikio kwa vitendo ya CUF kuingia serikalini (hadhi ya Zanzibar imeanza kurudi), mimi sijapata kuona katika nyumba mke akawa juu ya mume hiyo nimekusikia wewe Mkandara.
[Hujaona bado iwe nini?!! kwanini mnapiga makelele sasa, vipi nyumba ya wake wenza haikaliki?SIZE="4"]Haya madai ya viongozi wenu ati wameungana ni kamba tu wanakufungeni kwani kuungana kwa hawa wake wawili ili iwe nini?[/SIZE]
Kweli muungano huu ni unique hakuna duniani kote kwasababu kwa watu wenye akili zao hawawezi kuungana kipuuzi kama hivi...sisi tulilazimishwa na kama tungeulizwa tusingekubali...hata sasa!Hivi kweli wewe na akili yako malalamiko yako siku zote ilikuwa ujue Zanzibar ni nchi au sio nchi ndani ya Muungano?..Hilo tu. na kichekesho kikubwa ni kwamba mnachukulia Muungano wa nchi nyingine ili kutafsiri Muungano wa Tanzania hali Muungano wetu ni unique , tofauti kabisa na miungano mingine kwani tumeua nchi mbili kuunda moja wakati huohuo tukiepuka Zanzibar kumezwa na Tanganyika ndio maana ikawepo serikali ya Zanzibar tukaua serikali ya Bara. Lakini kama tutaunda serikali tatu na kwa kufuata mifano ya mfumo wa nchi nyinginezo Zanzibar itamezwa vibaya sana.
[Mkuu kama haya masuala huyafahamu bora unyamaze tu...tumeambiwa mara nyingi kuwa baba yenu wa taifa alikuwa na mawazo ya kuunganisha Afrika nzima na akachukuwa wazo la muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama mfano, hii inamaanisha kuwa kama Nyerere angekuwa mkweli, kungekuwa na uwezekano wa kuunganishwa zaidi ya nchi moja, kwa maana ya zaidi ya serikali moja, hivyo zingekuwa zaidi ya tatu unazodai wewe zimeepukwa kuundwa, hoja yako si sawa kabisa.SIZE="4"]Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba muundo huu tuliokuwa nao umetokana na kuepuka kuunda serikali tatu za Muungano kwani haziwezi kuleta uuwiano wa aina yeyote ile.
[/SIZE]
sijuwi umeongea kitu gani hapa lakini ninanvyoona na inawezekana wewe si Mtanganyika hasa..hata kama mimi najisifia kwa utwana na uungwana, kama unavyoona, tatizo lipo wapi...wewe unajisifia nini?Wewe na Junius hamna tofauti. Mwenzako anatamani utumwa wewe una enzi utawala wa kikoloni na wakisultani! Nyinyi ndio wanafik. Semeni wazi kuwa tunataka tuvunje Muungano ili turudishe hali ya neema ilivyokuwa kabla ya Mapinduzi. Huo uzanzibari mnaojisifia ni ule wa mtwana na muungwana.
Masikini weee! hata hujitambuwi kama wewe mnyama au ndege...! na ndiyo maana unaona wivu na choyo kuona kuwa wazanzibar wanafahari na uzanzibar wao ndani ya muungano wa kidhalimu.Sisi machogo tunajisifia nchi yetu, Tanzania. Awali ya hapo bila shaka Tanganyika.
[
Kijana, unakumbuka Nyerere alisema mangapi?utabiri wa nyerere sasa unatimia. Kubuka mwalimu alisema....
Si alikwambieni kuwa ikulu si pango la wezi...leo wangapi wapo kule na wangapi wameiba mchana kweupe...mumefunga mikono mnawatazama tu na weshakwambieni hawana haja na kura zenu...lakini kwa kuwa mazuzu mtawapa tu.
sijuwi umeongea kitu gani hapa lakini ninanvyoona na inawezekana wewe si Mtanganyika hasa..hata kama mimi najisifia kwa utwana na uungwana, kama unavyoona, tatizo lipo wapi...wewe unajisifia nini?
Baba yangu alizaliwa katika nchi iliyokuwa ikiitwa German East Afica. Mimi nilizaliwa katika nchi iliyokuwa ikiitwa Tanganyika. Sasa naishi na nina uraia wa nchi inayoiwa Tanzania. Ninavunia utu wangu, halafu utanzania wangu. Siku ambapo jina Tanganyika litakaporudi, nitajivunia kuwa raia wake.
Naamini kuwa hakuna mtu yeyote anayestahili kuwa mtwana au muungwana juu ya mwingine. Wewe inaelek
ea ulizaliwa katika Jamhuri ya Muungano ya Tanzania au wakati JMT imeshazaliwa. Huo uzanzibari unaojisifia ni wa kusimuliwa ama na nduguzo waliokimbia mapinduzi au walioathirika kwa namna moja au nyingine na hayo mapinduzi ambapo watwana walitwaa nchi.
Masikini weee! hata hujitambuwi kama wewe mnyama au ndege...! na ndiyo maana unaona wivu na choyo kuona kuwa wazanzibar wanafahari na uzanzibar wao ndani ya muungano wa kidhalimu.
Nitawaoneaje wivu watu ambao hawanihusu? Lakini pamoja na hayo ninawajua wazanzibari. Kama nilivyosema awali, tumeoleana, tumesoma pamoja, tumefanya kazi pamoja. Wako walio kama wewe, wenye chuki na Muungano na wanaojihesabu kuwa ni wazanzibari kuliko watanzania. Lakini humo humo wapo ambao wanajivunia utanzania wao kuliko hata mimi. Wanaowaangalia wakorofi kama nyinyi kwa woga maana waliiona Zanzibar hiyo mnayotaka kurudisha. Zanzibar ya watwana na waungwana. Hauwasemei wote. Na viongozi wenu wanajua. Siku wakitangaza wazi kuwa wanavunja muungano, huko kwenu kutawaka moto. Hao ambao mnadhani ni mabubu, watwana, wataamka na kuwaambia kulikoni. Ndio maana sisi mbao mnadhani tuna chuki na wivu na nyie, tunasisitiza mpige kura ya maoni kuhusu muungano, na kama wengi watakuwa na mawazo kama yako, muende. Muungano tuuvunje kwa amani, kila mmoja aangalie mbele. Tusichokitaka ni huku kutuuma wakati mnapulizia. Andamaneni, muwaambie viongozi wenu kuwa mmechoka na udhalimu wa JMT, mnataka mjitoe jumla!
Amandla......

FM mkuu
Usipoteze muda wako kubishana na jamaa hawa.Kama ni ubishi kwa ajili ya ubishi hawa ni nambari wani.Ni Nyerere na Komandoo tu ndo waliijua dawa yao.
Sasa hivi Mh Karume is probably in unconfortable waters, kautosa muungano kwa kuwaridhisha wale wenye mentality ya kukumbatia uarabu.
Bahati mbaya sana si wabara wengi wanaowafahamu hawa wenzetu vizuri.
"Ulaya" ya kwao ni Muscat Oman na kwingineko.Tafuta mizizi ya Usultani ndo utaelewa.
Kiongozi yoyote wa Unguja mambo yakimyookea hata kama ameoa mwafrika mwenzake , basi anakimbilia kuoa mke mwenye asili ya kiarabu!
Hili nimeliona maana nimekaa Unguja na Pemba,tena miaka hiyooo!
Matokeao yake ni kiakili na kimwili hawa wenzetu kumilikiwa na mawazo ya uarabuni.Si siri kuwa wengi wao tayari wamehamia huko kwa mababu zao.
Sasa muungano wa nini tena? wakati mjomba yuko in the side lines akingojea tu wakati muafaka.Wamekuwa wakisubiri kwa wakati kama huu for the last 50 yrs or so.
Ubaguzi upo, tena wa kichinichini.Asiyeelewa hili jaribu kupata any social services ukiwa Zenj na utajua chati ya Mtanganyika iko wapi.
Huku kwetu wamejaa kibao, waUnguja na waPemba.
Mtu asifikiri naeneza siasa za chuki dhidi ya watu wenye asili ya uarabuni, la hasha.Lakini ukweli ndio huo.
Hii katiba mpya ya Zenj ni stepping stone kwa hatimaye kuudhoofisha hatimaye kuua muungano.

Jamani, tuko mwaka 2010! Kama ningepewa hii hoja na kambiwa ni buni ni mwaka gani imeandikwa, si wadanganyi ningebuni kati ya mwaka 1970-1975.
Ukweli ni hatari sana kwa maendeleo ya mwaafrika kwa ujumla kama kweli muandishi na aliyempa thanks hawatanii, hasa pale ambapo maudhui mazima yamejaa 'Uarabu'. Kibaya zaidi ni pale ambapo mtoa hoja anakubali kuwa hao wazanzibar wana-nasaba na hao waarabu na kwa upande mwingine anakataa uhusiano wao. Nashindwa kumuelewa kabisa!
Hakuna nchi hata moja hapa duniani ambayo Raia wa Tanzania amekatazwa kwenda kuishi.
Acheni kushabikia matope!
Mkuu Zawadi Ngoda nakushabikia kwa imani yako.Jamani, tuko mwaka 2010! Kama ningepewa hii hoja na kambiwa ni buni ni mwaka gani imeandikwa, si wadanganyi ningebuni kati ya mwaka 1970-1975.
Ukweli ni hatari sana kwa maendeleo ya mwaafrika kwa ujumla kama kweli muandishi na aliyempa thanks hawatanii, hasa pale ambapo maudhui mazima yamejaa 'Uarabu'. Kibaya zaidi ni pale ambapo mtoa hoja anakubali kuwa hao wazanzibar wana-nasaba na hao waarabu na kwa upande mwingine anakataa uhusiano wao. Nashindwa kumuelewa kabisa!
Hakuna nchi hata moja hapa duniani ambayo Raia wa Tanzania amekatazwa kwenda kuishi.
Acheni kushabikia matope!
Bahati mbaya imani hii ni naive na haina misingi ya ukweli unaotokana na mazingira ya Zanzibar.
Ili kumwelewa Mzanzibari tafadhali uwe umekaa nae muda mrefu tu ili uweze kumwelewa psyche yake.
Si watu wengi wanaelewa kuwa kwa Mzenj kukukaribisha nyumbani kwake ni kwa mbinde!!
Huu hata hivyo ni utamaduni wake.
Historia ya Zenj hutaielewa kama hutarudi nyuma by 100-300yrs. Mtanganyika ukisema ubaguzi mioyoni mwa ruling class ya Wazenj iliisha tarehe 12 Jan 1964 basi bado hujawaelewa Wa zenj.
Sijui kama wewe umekaa visiwani au la , lakini mimi nimekaa huko kati ya 1982-1985, ninayoyaona sasa na mabadiliko ya kikatiba ni mwendelezo ya yale niliyoyaona miaka hiyo.
Nasikitika kuwa unafikiri tuna bishana siasa za matope, lakini muungano ndo unayoyoma na culprit si waTanganyika.
WaTanganyika hawajarusha the first stone katika kuulegeza muungano.Hilo walifahamu na kulitambua.Tuache wishful thinking wakati reality inajionyesha .Prudency demnds that referendum ifanyike pande zote mbili za muungano ili kama muungano ukiwa hauhitajiki basi taratibu za kistaarabu zifanyike kutenganisha hizi dola na kila mtu aende kule anakajua.
Inabidi muamke kuiona the larger picture written all over the scenario.
Jamani, tuko mwaka 2010! Kama ningepewa hii hoja na kambiwa ni buni ni mwaka gani imeandikwa, si wadanganyi ningebuni kati ya mwaka 1970-1975.
Ukweli ni hatari sana kwa maendeleo ya mwaafrika kwa ujumla kama kweli muandishi na aliyempa thanks hawatanii, hasa pale ambapo maudhui mazima yamejaa 'Uarabu'. Kibaya zaidi ni pale ambapo mtoa hoja anakubali kuwa hao wazanzibar wana-nasaba na hao waarabu na kwa upande mwingine anakataa uhusiano wao. Nashindwa kumuelewa kabisa!
Hakuna nchi hata moja hapa duniani ambayo Raia wa Tanzania amekatazwa kwenda kuishi.
Acheni kushabikia matope!
Awali ya yote, asante haina maana kuunga mkono. Asante ni kushukuru kwa mchango wa aliyeandika.
Pamoja na hayo,, wewe umetuona sisi lakina wale ambao wanashabikia utumwa n.k. huwaoni! Mkuu Lole anazungumzia experience yake na mimi siwezi kumpinga. Kama vile nisivyoweza kuwapinga wale wanaosema watu wengi Zanzibar wanauchukia Muungano. Umewasikia watu wazi wazi wakishabikia utawala wa kisultan, lakini haukupata ubavu wa kukemea mpaka Lole aliposema aliyoyasema?
Hivi neno "muarabu safi" ni la kejeli au sifa? Nasikia kuna watu Zanzibar wanajitambua au wanatambuliwa hivyo. Lakini sijasikia neno "mtu mweusi safi". Kwa hali hiyo naamini ( labda unisahihishe) kuwa muarabu safi ni yule ambaye damu yake haina uchafu wa damu ya mtu mweusi. Lakini pengine inamaanisha muarabu mwenye tabia nzuri ambayo nayo itajenga hisia kuwa waarabu wengi ni wachafu! sasa lipi ni sahihi?
Nakubali kuwa hakuna nchi ambayo raia wa tanzania amekatazwa kuishi. Lakini pamoja na kukubalika huko, huyo raia wa Tanzania haki zake huko anakohamia zinakuwa pungufu na raia wa nchi hiyo. Na hapa Tanzania ,haki za raia mtanzania kutoka bara aishie Zanzibar ni pungufu za raia wa Zanzibar. Mtanzania mwenye haki ya kukaa mahali popote ndani ya JMT na kupata haki zote za uraia ni mzanzibari na si mtu wa bara. Au haya nayo utasema tunawasingizia.
Amandla.........
Nakubali kuwa hakuna nchi ambayo raia wa tanzania amekatazwa kuishi. Lakini pamoja na kukubalika huko, hyuyo raia wa Tanzania haki zake huko anakohamia zinakuwa pungufu na raia wa nchi hiyo. Na hapa Tanzania ,haki za raia mtanzania kutoka bara aishie Zanzibar ni pungufu za raia wa Zanzibar. Mtanzania mwenye haki ya kukaa mahali popote ndani ya JMT na kupata haki zote za uraia ni mzanzibari na si mtu wa bara. Au haya nayo utasema tunawasingizia.
Amandla.........
Na ndio maana wanapoambiwa watamke kuwa muungano basi wznz hawawezi, wanajua ndani ya muungano wana advantage. Siku hizi wana slogan mpya ''serikali tatu'' maana yake wasijekosa yale ya muungano completely.
Nitawaoneaje wivu watu ambao hawanihusu?. Na viongozi wenu wanajua. Siku wakitangaza wazi kuwa wanavunja muungano, huko kwenu kutawaka moto. Ndio maana sisi mbao mnadhani tuna chuki na wivu na nyie, tunasisitiza mpige kura ya maoni kuhusu muungano, na kama wengi watakuwa na mawazo kama yako, muende. Muungano tuuvunje kwa amani, kila mmoja aangalie mbele. Tusichokitaka ni huku kutuuma wakati mnapulizia. Andamaneni, muwaambie viongozi wenu kuwa mmechoka na udhalimu wa JMT, mnataka mjitoe jumla!
Amandla......
Nimesoma media nyingi, hakuna mzanzibar anayesema muungano uvunjwe, kuna wimbo unaotumika sasa ''serikali tatu''. maana yake ni kuwa Tuendelee kufaidika na kile tunachopata ndani ya muungano. Namimi nazidi kushadidia, waznz andamaneni mdai kuvunja muungano au leteni hoja bungeni, au basi hata kiongozi mmoja atokee mbele ya vipaza sauti aseme hamtaki muungano. 'Kuuma na kupulizia ni unafiki!!'