Baada ya kuchoshwa na tuhuma nyingi zinazoelekezwa kwake kupitia magazetini, muda mfupi uliopita spika samwel sitta amesema tuhuma hizo zinapikwa na watu wasiompenda wakiyatumia magazeti ya tanzania daima na tazama. Huko nyuma tuliwahi kusikia kuwa wahariri wa gazeti la tanzania daima (absalom kibanda na charles mulinda) wamenunuliwa na mafisadi wakiongozwa na r.a. Ili kuwashambulia maadui zao, akiwemo spika sitta. Hawa wamekuwa pia wakilitumia pia jamvi hili la jf kupenyezaa upuuzi wao. Akizungumza kwa kujiamini spika ameonyesha kukerwa zaidi na tuhuma kwamba anapanga njama za kuchoma ofisi za bunge ili kuharibu ushahidi wa baadhi ya tuhuma. Sasa amemuomba waziri mkuu amuongezee ulinzi kwani anadhani watu hao ni hatari.
LAZIMA AWE SPIKA COZ NI MTU MAKINI NYIE VIBARAKA WA ra , el NA MAFISADI WENZENU NDO HAMLALI MNAHOFU KWA TUNAO LIFAHAMU BUNGE NI SITA NDO ANAFAA KUWA SPIKA HUYO WA IGUNGA KWAHERI KUWENI WAZALENDO NYIE VIBARAKA TUU.
Usigeneralize mkuu,naamini watanzania walio-wengi bado tuna imani na Spika, big up SS!!bado mazoea yatatusumbua sana! sikuamini macho yangu pale nilipomuona na kumsikia SS bungeni, akitamba ,aking'aka kuwa lazima atakuwa tena mbunge wa urambo, na lazima atakuwa tena Spika katika bunge lijalo hivi hayo ni maneno ya kuongea mtu mzima kama yeye tena mwenye dhamana kubwa katika chombo cha maamuzi yaani bunge? Sita its your time to quit! we are fed up
Ila duh....Lowasa alinuna kishenzi.....Pasco si ajabu kumuona katekista akifurahia padri wake kuteuliwa kuwa paroko au askofu kwa maana inamhakikishia maisha yake ya kesho hao waliofurahia walionekana kwako tu maana kumbuka bunge linaonekana dunia nzima labda kitu kimoja wabunge wengi walipiga meza nadhani wengi kwa kushangaa spika anavyonyesha ubabe wake kuwa lazima alitakalo liwe
Nimecheka sana pale aliposema wabaya wake kamera za TBC zikageuziwa kwa Lowasa utadhani ndiye mbaya wake. Mwaka huu watachinjana.
Mwanafalsafa,
Ni kweli, Tanzania bila Nyerere imeendelea kuwepo, lakini it's quite a different Tanzania!