Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,030
- 110,663
nimesha pevuka vyakutosha, hebu nielekeze mwaya.
Maelekezo nishakutumia kwa njia ya Mizengo Pinda "PM"..
nimesha pevuka vyakutosha, hebu nielekeze mwaya.
Inaelekea wewe mtaalam wa hayo makitu Lara 1 ...................!:rockon:Watu wachonganishi! Govinder Kumar wote wont be gettin any Blow Job this week! Huu ndo tunaita uchochezi wa vyombo vya habari!
Ha ha ha ha ha.....me sijasema usinisingizieeee mwenzio.We si unaona Konnie anawashawishi mods waipeleke hii sinema Jukwaa la Vikongwe...
Jamani hata sisi ipo siku tutakuwa wakubwa acheni tuchukue notsi, sasa waalimu ndio inabidi wawe na staha
Jana nilisoma kwenye mtandao fulani wasichana wamekuwa wakipata magonjwa ya fangasi na mengineyo kwa sababu ya kunyonya UUME usiotahiriwa
Wakitoa shuhuda zao, wengine wamedai wakimaliza kusex hubaki na harufu mbaya sana inayosababishwa na GOVI (uncircumcised penis), na baadhi wamepata uambukizo. Pia wapo waliosema wenzi wao wanatoa harufu inayowakera sana, ambayo husabaishwa na GOVI ila wanaogopa kuwaambia maana watawapiga chini.
SASA NASEMA YANGU:
Ni kweli GOVI huwa linatoa harufu mbaya sana hasa kama mhusika hasafishi mara kwa mara. Ndani ya GOVI huwa kunakuwa na uchafu uliogandia wa rangi nyeupe, hivyo mwanume mwenye GOVI lazima avute ngozi kwa nyuma ili aweze kuosha na kuondoa huo mgandio wenye harufu mbaya.
MASWALI:
- Kuna ulazima wowote wa dada kunyonya uume wenye GOVI?
- Huoni kinyaa kufanya hivyo?
- Kwa nini usimshauri aende kutoa hilo GOVI ili muweze kufanya mambo kwa usafi?
- Inakuwaje mtu mzima anafuga GOVI? ( Kule kijijini kwetu huwezi kuoa mke kama una GOVI, na wala huwezi kumkuta mtu mzima ana GOVI - watu hukata magovi yao bado wadogo kabisa)
- We dada unasubiri nini kumnyima huyo mwenzi wako mwenye GOVI ili apate msukumo wa kulitoa?:crying:
- Utavumilia harufu mbaya na mateso ya maambukizo ya mara kwa mara mpaka lini?
wewe kijana umejiunga juzi tu, unakuja na stori za ajabu ajabu hapa ndani? Ni wanaume wachache sana dunia ya leo, hasahasa wanaoishi mijini ambao hawajatahiriwa. Hii story yako wapelekee watu wa vijijni ambao hawatumii mitandao.
pole sana! Hapa suala si kujiunga jana, juzi au miaka kumi iliyopita. Kinachotakiwa ni hoja. Unaweza ukawa mkongwe katka jf lakini mtu mzima hovyooooooo!!!!!!!!
Imeku-touch eeeeehhh!!!! Kama huna cha maana cha kuandika nyamaza kimya kabisa. Tulia. soma michango ya wenzako. Mtanzania gani leo anayeishi mjini aliyezaliwa kuanzia mwaka 1960 (watumiaji wengi wa mtandao mijini wamezaliwa kuanzia mwaka huo) hajatahiriwa? Acheni kuleta mada za kitoto hapa ndani. umenielewa?
Kumbe mtu mwenyewe una matatizo ya ufahamu, fanya utafiti siyo utajua kama yaliyoandikwa ni ya kitoto au la. Inaonekana hujasoma vizuri hii post, una vurugu za maono.
Watu wachonganishi! Govinder Kumar wote wont be gettin any Blow Job this week! Huu ndo tunaita uchochezi wa vyombo vya habari!
acha uzushi na propaganda,mbona video nyingi za x wengi ni magovi na wananyonya kama kawa,hizo hatari wanazozipata ni kama zipi labda??usijali wengine ndio raha yetu nikiona anapandisha govi lake namuona abdala kichwa wazi wamotooo lkwa ajili ya kufichwa mwenzenu napagawa,nani ana govi?:nono::nono::A S shade:
Maelekezo nishakutumia kwa njia ya Mizengo Pinda "PM"..