Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,578
Mi hapanihusu hapa nilitahiriwa nikiwa tumboni
Hebu nione.
Mi hapanihusu hapa nilitahiriwa nikiwa tumboni
Haya chunguliaHebu nione.
sio kufyedua, wanaita kufyodoa.. ha ha h ha haEnzi hizo tukiwa na Magovi na unakademu basi unatoa utoko kwanza kwa kulifyedua govi ndo mnaanza Kazi .....!:rockon:
nashangaa mimi!Kwani bado kuna wenye govi mpaka leo jamani makubwa bax
Wakisema ipelekwe kwenye jukwaa la wakubwa ina maana ni wakubwa tu ndiyo wenye magovi.Kweli wakubwa mnafaidi, kila kitu mnataka muambiane ninyi tu!!
Jamani hata sisi wadogo wapo wenye GOVINDAR KUMAR,acheni mada iendelee kuwepo hapa tuwe tunapiga chabo...
Mkuu usichoke kuelimisha jamii mpaka itakapo elimika.Hivi kila siku tutakuwa tunaongelea mambo ya magovi tu!
Wakisema ipelekwe kwenye jukwaa la wakubwa ina maana ni wakubwa tu ndiyo wenye magovi.
Hoja dhaifu inatoka kwa watu dhaifu.
mkuu unajua hao wadau wanaotaka kuihamisha huku hiyo mada sikuwaelewa kidogo, samahani kwa kuirudisha tena. hahahahahahhaMkuu hii mada umeifufua tena...yaani nilikuwa nishasahau...hilo jibu nadhani nilikuwa namjibu Kongosho
mkuu unajua hao wadau wanaotaka kuihamisha huku hiyo mada sikuwaelewa kidogo, samahani kwa kuirudisha tena. hahahahahahha
kwanza govi gani atakaekubali akuvulie umchungulie kesho ukahadithie
Mod, nadhani hii mada inastahili jukwaa la wakubwa.
sio kufyedua, wanaita kufyodoa.. ha ha h ha ha
Kwani vile vi-babu vya kizungu, wadada wengi wa mjini (si wote) mnavishobokea havinaga ma GOVINDER KUMAR? Mie ninachojua wazungu wengi huwa hawatoi mikono ya sweta! Au uto.ko wa kizungu unanukia vuzuri tofauti na wa kiafrika? Naomba mwongozo kwa spika!Jana nilisoma kwenye mtandao fulani wasichana wamekuwa wakipata magonjwa ya fangasi na mengineyo kwa sababu ya kunyonya UUME usiotahiriwa
Wakitoa shuhuda zao, wengine wamedai wakimaliza kusex hubaki na harufu mbaya sana inayosababishwa na GOVI (uncircumcised penis), na baadhi wamepata uambukizo. Pia wapo waliosema wenzi wao wanatoa harufu inayowakera sana, ambayo husabaishwa na GOVI ila wanaogopa kuwaambia maana watawapiga chini.
SASA NASEMA YANGU:
Ni kweli GOVI huwa linatoa harufu mbaya sana hasa kama mhusika hasafishi mara kwa mara. Ndani ya GOVI huwa kunakuwa na uchafu uliogandia wa rangi nyeupe, hivyo mwanume mwenye GOVI lazima avute ngozi kwa nyuma ili aweze kuosha na kuondoa huo mgandio wenye harufu mbaya.
MASWALI:
- Kuna ulazima wowote wa dada kunyonya uume wenye GOVI?
- Huoni kinyaa kufanya hivyo?
- Kwa nini usimshauri aende kutoa hilo GOVI ili muweze kufanya mambo kwa usafi?
- Inakuwaje mtu mzima anafuga GOVI? ( Kule kijijini kwetu huwezi kuoa mke kama una GOVI, na wala huwezi kumkuta mtu mzima ana GOVI - watu hukata magovi yao bado wadogo kabisa)
- We dada unasubiri nini kumnyima huyo mwenzi wako mwenye GOVI ili apate msukumo wa kulitoa?:crying:
- Utavumilia harufu mbaya na mateso ya maambukizo ya mara kwa mara mpaka lini?
ayaaa yaan nilikua nanyatia na mm nipate hayo maelekezo ss na ww nae umepeleka kwenye sili. basi n pm ndugu yng wa 8Maelekezo nishakutumia kwa njia ya Mizengo Pinda "PM"..