Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 6,327
- 12,973
Safi.Tongue sio toung
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work day
Safi.Tongue sio toung
Africa ujuaji mwingi halafu hatuna tunachokijua zaidi ya ngono tu yani mtu unabishana na demographic statistics kwa cheap points kama hizi, eti wanawake walio single sijui uliza mahospitalini watoto wanaozaliwa hivi hizi tafiti zenu uchwara mnazifanyia wapi, ndio mjue sasa hakuna cha nature wala nini bali ni propaganda tu za kuwanufaisha wanaume maana hiyo nature imeshawasaliti kwenye upande wa populationTakataka hii umeandika, ili wanawake wapate waume atleast mwanaume uwe na wake wanne.
Wanawake wamejaa kibao single mbona hamuwaoi?
Wewe si ndio yule dada mjuwaji? Siwezi kukushangaa umepungukiwa homoni za kike.Africa ujuaji mwingi halafu hatuna tunachokijua zaidi ya ngono tu yani mtu unabishana na demographic statistics kwa cheap points kama hizi, eti wanawake walio single sijui uliza mahospitalini watoto wanaozaliwa hivi hizi tafiti zenu uchwara mnazifanyia wapi, ndio mjue sasa hakuna cha nature wala nini bali ni propaganda tu za kuwanufaisha wanaume maana hiyo nature imeshawasaliti kwenye upande wa population
Siku zote huwa mnatumia hizi ad hominem attacks kama defensive mechanism baada ya kushindwa hojaWewe si ndio yule dada mjuwaji? Siwezi kukushangaa umepungukiwa homoni za kike.
Mzee tumia logics and factsWanawake wapo sawa na wanaume? Hizo tafiti huwa mnafanyia wapi? Kuweni na aibu basi.
Unajua kwamba kuna makabila hapa duniani akizaliwa mtoto wa kiume familia inajishindia mamilioni?
Wanaume ni wachache hawapo sawa Wala wengi kwa wanawake. Ukishindwa kabisa kufanya tafiti zako andika hata google watakusaidia.
For Tanzania Kuna wanaume 30m na wanawake 31.7m simply hio ndo ratio.Wanawake wapo sawa na wanaume? Hizo tafiti huwa mnafanyia wapi? Kuweni na aibu basi.
Unajua kwamba kuna makabila hapa duniani akizaliwa mtoto wa kiume familia inajishindia mamilioni?
Wanaume ni wachache hawapo sawa Wala wengi kwa wanawake. Ukishindwa kabisa kufanya tafiti zako andika hata google watakusaidia.
Kama unataka facts na logic basi jifunze kuwa smart.Mzee tumia logics and facts
For Tanzania Kuna wanaume 30m na wanawake 31.7m simply hio ndo ratio.
Chukulia kila mwanaume aoe wanawake wawili kwa miaka then what Will happen next. Simply ni shortage of female finally shortage of marriage