Ni simulizi gani Ilikukuna vizuri hapa JF 2016?

Mmh mbona hizo story mimi zimenipita.kwangu ya peniela na Danny mpaka mate ingawa mwisho story ikawa haieleweki
 
Nifah!
Tafadhali tuwekee link ya hizo simulizi kutoka kwa Legendary Comrade "The Bold"
 
mh hapo kwenye "kukunwa" panaleta ukakasi kidogo nashindwa kuchangia.
Rekebisha kidogo
(just a little joke...lol)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…