Buttler Jo
JF-Expert Member
- May 26, 2025
- 901
- 811
Jumamosi! Naipenda hii siku kwa sababu ndio siku niliyozaliwa..
Mimi sijaajiliwa na mtu kwaiyo nimetenga jtatu napumzisha fuvu languJ3 ina mambo mengi 😕
Ijumaa huwa naiita Junction day of the weekHeshima mbele GTs
Kati ya jumapili, jumatatu, jumanne, jumatano, alhamisi, Ijumaa, na jumamosi, ni siku ipi/zipi unaipenda katika wiki? kwanini?
~ Nomadix