Ni siku ipi/zipi unazipenda katika wiki, na kwanini?

Ni siku ipi/zipi unazipenda katika wiki, na kwanini?

😀 Hahahaha
Mwambie huyo Cc: Nimesikitika sana nimebubujikwa na machozi macho yamevimba kama nimeng'atwa na nyuki.
🤣🤣🤣🤣🤣
Siwezi kumwambia mkuu.
Nikipata utulivu nitawaomba smart911 na Mahondaw wanipe muongozo kwenye haya mambo ya ku Cc:
 
Naenda Church jumamosi, ni siku mwili na akili vinapata total relaxation

Jumatatu ni siku productive, so is Wednesday and Friday. Jumanne na Alhamisi ni siku zipo zipo tu.
 
Back
Top Bottom