Tumepanga majina na vipimo lakini hata tusingepanga bado siku ipo, utafauti ni kuwa tusingejua ni siku ipi na tusingejua ni wakati gani(saa) wa sikuNakubali ila pinga ni sisi binadamu tumepanga iwe hivyo
Pia hata siku tumepanga🤣🤣Tumepanga majina na vipimo lakini hata tusingepanga bado siku ipo, utafauti ni kuwa tusingejua ni siku ipi na tusingejua ni wakati gani(saa) wa siku
Kungekuwa na siku,siku,siku,siku,siku
🙂
Hapana mkuu sisi MATAJIRI na wafanya biashara wakubwa mapumziko yetu huwa haya tegemei kalenda ya wiki, ndio maana huwa nafurahia siku yoyote ambayo itakuwa ni 50/50. Siku ambayo huwa nafanya kazi sana huwa siifurahii, siku ambayo inakuwa ni mapumziko tu bila kazi huwa siifurahii pia.Tajiri unamaanisha Ijumaa,Jumamosi na Jumapili!
Ndio tungepanga kama binadamuKusingekuwa na siku kungekuwa na nini?
Mambo ya kitajiri hayo mkuu, sisi jobless pro max siku zote zinaonekana kama mapumziko.Hapana mkuu sisi MATAJIRI na wafanya biashara wakubwa mapumziko yetu huwa haya tegemei kalenda ya wiki, ndio maana huwa nafurahia siku yoyote ambayo itakuwa ni 50/50. Siku ambayo huwa nafanya kazi sana huwa siifurahii, siku ambayo inakuwa ni mapumziko tu bila kazi huwa siifurahii pia.
Me nahisi hizo huwa ni product za lugha, kwa mfano mtu ambaye hana lugha hajui neno siku, leo, kesho au jana unahisi atakuwa anahisi tofauti akilala na kuamka au itakuwa kama siku imejirudia ila ana uhuru wa kufanya vitu tofautiKusingekuwa na siku kungekuwa na nini?
Siku ni sisi binadamu tumepanga , kwani wewe unaonaje tungerudi kwenye asili?huoni kwamba bado tungerudi kwenye siku.
Hakuna jamii isiyo na lugha hivyo ndio maana nasema siku ipo.Me nahisi hizo huwa ni product za lugha, kwa mfano mtu ambaye hana lugha hajui neno siku, leo, kesho au jana unahisi atakuwa anahisi tofauti akilala na kuamka au itakuwa kama siku imejirudia ila ana uhuru wa kufanya vitu tofauti
Huo ni mfano kama ingekuwepo jamii hyo, ila si unajua lugha ndio mchango mkubwa wa ufikiri wa mtuHakuna jamii isiyo na lugha hivyo ndio maana nasema siku ipo.
Hebu nitajie hao watu wasio na lugha!
😂😂😂Mambo ya kitajiri hayo mkuu, sisi jobless pro max siku zote zinaonekana kama mapumziko.
😀
Siku ipo hata kama tusingeitambua kuwa ni siku, bado ingekuwepo siku. Nachoona ni kuwa labda tungeamua kuipima kitofauti mfano, likija giza/usiku tunasema ni siku moja(leo), ikiwa mwanga/mchana tunasema siku ya pili(mchana).Siku ni sisi binadamu tumepanga , kwani wewe unaonaje tungerudi kwenye asili?
Hiyo ni tuna sema , na moja kwa moja umekubaliana siku ni sisi tumezipa maanaSiku ipo hata kama tusingeitambua kuwa ni siku, bado ingekuwepo siku. Nachoona ni kuwa labda tungeamua kuipima kitofauti mfano, likija giza/usiku tunasema ni siku moja(leo), ikiwa mwanga/mchana tunasema siku ya pili(mchana).