Tafuta hela weweJamaa 👆[SUB] mmejibu kisiasa ..Mimi nataka Kisheria![/SUB]
Hebu fafanua mkuu.Kumekuwa na Utaratibu wa watumishi wa Umma kuhamishwa bila kulipwa stahili zao. Hivi hakuna Sheria inayomlinda Mtumishi kama huyu? Nakumbuka Rais aliwahi kutamka jukwaani kuwa Mtumishi asihame hadi alipwe.
Je, hii ipo kisheria?
Yaani huu ujinga unafanyika sana kwenye LGA na mbaya zaidi watumishi wenyewe wanauendekeza na kuubariki ionekane ndio mazoea (good practice), unahamishwa halafu unatumia fedha yako kwenda kuripoti na kusafirisha mizigo yako..ukihoji unaambiwa si unalipwa mshahara, tumia huo halafu utalipwa baadae.Hebu fafanua mkuu.
sasa Huko kituo kipya unatumia hela ipi kwenda kama hujalipwa. mbona maajabu.
unatakiwa uwezeshwe ndo uende
Ni waraka wa namba 2 wa 2018 wa Katibu Mkuu (Utumishi), unakataza mtumishi wa umma kuhamishwa (kulazimishwa kuripoti kituo kipya) kabla ya kulipwa stahiki zake.Kumekuwa na Utaratibu wa watumishi wa Umma kuhamishwa bila kulipwa stahili zao. Hivi hakuna Sheria inayomlinda Mtumishi kama huyu? Nakumbuka Rais aliwahi kutamka jukwaani kuwa Mtumishi asihame hadi alipwe.
Je, hii ipo kisheria?