Habari za mihangaiko wakuu nmeoa ndoa yangu ina miaka 6 na tume balikiwa kupata watoto wawili changamoto kubwa iliyopo ni mke wangu kupoteza hisia kabisa na mimi kupata unyumba imekua ni kasheshe mpaka ajisikie yeye napo ni baada ya miez kadhaa utapewa kibabe kama unabaka vile mpaka naanza kupata wasi wasi jamani mpaka nafikiria kuvunja ndoa yenyewe niki waangalia wanangu nawa onea huruma sana bado wadogo.