Ni sawa kumficha mme/mke wako kiasi cha mshahara wako?

Kweli mimi pia sipendi kuulizwa kuna wanaume wengine wakijua kipato hasa kikiwa kikubwa wanachukua advantange. Joint account ni bora kutatua matatizo ya nyumbani or any other future plans. Kila mtu anajua kiasi gani anachangia kwahiyo any spending should not come from joint account, I won't intefere.

ur rite MadameX
 
Last edited by a moderator:
Inategemea kwa sababu wengi huingia ndani ya ndoa bila uhakika wa kuishi Tugeza Foreva ndo maana kwao vipato vyao ni siri kwa wenzi wao...Ila sisi wenye mapenzi mema na ndoa Huwa tunashare hizo taarifa...Its just money when u die u wont go with it. Kwanza kama mwanaume majukumu ya ndoa unayajua vizuri ni lazima mkeo ajue mshahara wako and likewise because a wife belongs to the husband and the husband belongs to the wife...

Charmi
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=3899887
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya kizamani hayo kuficha ficha.
Siku hizi huna haja ya kuficha, acha mshahara ujulikana na matumizi uyafanye kadri unavyotaka huo ndio uanaume.
 
Back
Top Bottom