Ni sawa kumficha mme/mke wako kiasi cha mshahara wako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sawa kumficha mme/mke wako kiasi cha mshahara wako?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tangopori, May 18, 2012.

 1. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,614
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Wanajf tujadili hili.
  Kwa upande wangu mimi naona wanawake wanakuwaga sensitive sana na pesa so akijua kiasi cha mshahara wako atakuwa anafuatilia kila senti inapokwenda hata ukikutana na rafiki zako mkachoma nyama basi lazima ahoji hizo hela zimeenda wapi. So hatakiwi kujua.
   
 2. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Inategemea na makubaliano yenu kama hutaki ajue mshahara wako na wewe usitake kujua wa kwake,simple and clear!
   
 3. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  mmh..sasa mkifichana then mtapangaje budget za nyumban,na mipango mingine ya siku za usoni ya maisha yenu...kwa ajili ya watoto n mengineo..
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  inategemea na malengo yenu kwenye maisha, kama mpo mpo tu mradi liende mfiche, ila kama mnataka kupanga kesho yenu kioa mmoja kipato chake kijulikane na mkubaliane mchango wenu utakua vipi
   
 5. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Si vizuri kufichana vipato vyenu
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kama huna "magendo" it is okay.... haya ya kuchoma nyama kwani kila siku?? itakuwa tabu kama home kila siku RB (Rice & Beans) ..... Hapo patakuwa na shida but if it is for some few days in a month na pia home mambo safi mie sioni tabu ya yeye kuujua mshahara wangu na pia nyama nitachoma tu.
   
 7. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  ila kusema ukweli kwa mwanamke /mwanaume anaeficha mshahara wake hana fikra za kimaendeleo na mwenza wake..
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ajue asijue for me it doesnt matter, jasho ni la kwangu so nitatumia hela yangu vile nataka, tuna hobbies tofauti so kila mtu ataspend hela yake vile anavopenda...
   
 9. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni tabia ya mke wako, Sio wote Wapo hivyo, jibu la hili swali ni "inategemea na Mwanamke"

   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  nimeshashuhudia jamaa amekufa na mke na watoto wanashindwa kujua na kufatilia masalia ya mme/baba yao

  kama unaishi na mtu ndani na kila kitu mnashare inakuwaje mfichane mambo ya kimaisha kam a hayo?
   
 11. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkeo kujua kipato chako sio vibaya. Ila kibaya ni huyo mwanamke kutawala hicho kipato chako, Utashindwa hata kukaa na washikaji kunywa Castle lite.
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  kama tunafichana mapato, haina haja ya kuishi pamoja, ni kutalikiana ndio suluhisho pekee.
   
 13. Runner

  Runner Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kweli kabisa.....maaana wengi wanatabia hiyo ya kuutawala mshahara wa mwanaume......ila mishahara yao hujifanya wamelipia deni kwa muuza nguo,kaendea salon......
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mara kunapokuwa na deficit za apa na pale home ndo hayo mambo ya kujua viapato vya wenza huingia.
  Kama kila kitu kinaenda shwari kudeclare vipato haitakiwi kuwa issue.
  Kuna watu wanapanga mambo ya maendeleo ya kila mmoja hajui kipato cha mwenzake
   
 15. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pesa yangu ni yake, na yake ni yake...wanaume hutupendi pesa tusizo zitolea jasho.

  Mimi huwa namuwachia kabisa wife card ya bank.
   
 16. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Inategemea kwa sababu wengi huingia ndani ya ndoa bila uhakika wa kuishi Tugeza Foreva ndo maana kwao vipato vyao ni siri kwa wenzi wao...Ila sisi wenye mapenzi mema na ndoa Huwa tunashare hizo taarifa...Its just money when u die u wont go with it. Kwanza kama mwanaume majukumu ya ndoa unayajua vizuri ni lazima mkeo ajue mshahara wako and likewise because a wife belongs to the husband and the husband belongs to the wife...
   
 17. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hongera sana fazaa, wanawake hatuko hivyo vile mnafikiri nyie. mbona ukiacha sh 1000 nyumbani unakuta umepikiwa chakula kizuri mbona huulizi nimeacha pesa kidogo lakini nakula vizuri??
   
 18. Sal

  Sal JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  mambo ya kupanga budget na future za watoto ni ya baba (kichwa cha nyumba). anaweza kunihusisha nimsaidie akitaka. mimi za kwangu nitamuongezea inapobidi hivyo hana sababu ya kujua income yangu, japo kwa mapenzi yangu naweza kumwambia income yangu, hapaswi kunilazimisha kama sitaki. yeye akiniambia ya kwake ni vizuri ili nijui naziba pengo wapi kama lipo la kuziba.

   
 19. m

  malamia Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kiukweli ni muhimu sana kimaendeleo wenzi kuweka kipato mezani na kutekeleza mipango yao ya maendeleo kila mwisho wa mwezi.Bila kufanya hivi kila mmoja atakuwa na priority zake mfano kusaidia kwao n.k. Hivyo basi ile take home ni vyema kabisa ikawa wazi. ijapokuwa mafanikio ya kufanya hivi inategemea sana insight na enthusiasism ya wote wawili kwani maisha ni kuchagua. Kwa ushauri ni vema zile pesa zinazotokana na dili mbalimbali nje ya mshahara ndo sehemu yake zilie bata otherwise kazi ipo. Hata mshahara si mbaya kutoa 50% kwa matumizi na 50% nyingine maendeleo.Ahksanteni.
   
 20. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kweli mimi pia sipendi kuulizwa kuna wanaume wengine wakijua kipato hasa kikiwa kikubwa wanachukua advantange. Joint account ni bora kutatua matatizo ya nyumbani or any other future plans. Kila mtu anajua kiasi gani anachangia kwahiyo any spending should not come from joint account, I won't intefere.
   
Loading...