Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Kulinga sana na kujiona ni wapekee wakati wa usichana wao,
Kujifanya wanachagua sana

CC Zero IQ
Ni balaa mkuu, ndo maana wanasemaga mwalimu wa mwanamke Ni KIPOFU
Kwa maana
MWANAUME AKIOA ANAHITAJI:
1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika
4. Uvumilivu

MWANAMKE AKIOLEWA ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:-
53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:-
58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.

PIA USISAHAU:-
62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.
MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-
65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu
WANAUME KAZ TUNAYO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
28-32 ndio muda wa kuwa kwenye ndoa,chini ya hapo ndoa itakua na ugomvi kila siku as mko immatured,na mkioana Zaidi ya hio age group,itakua na matatizo as well sababu ni umri wa ku focus na career/income so kubalance family life na work inakua ngumu kidogo…..nilionaga mahali sijui kama niko right..
Hauko mbali na ukweli hata economically wanaume wengi ambao kimsingi ndo provider umri huo wengi wanakuwa wameanza kunitegemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri mzuri wa kuolewa kwa mwanamke ni miaka kuanzia 20 mpaka 30 anakuwa bado yuko imara sana kwa sababu anazaa akichelewa kuolewa umri ukizidi kwenda akianza kuzaa kuanzia miaka 31 nakuendelea anawahi kuchoka nakutana na matatizo mengi ndio maana mwanamke anashauri aolewa akiwa kati ya miaka 20 mpaka 30 ili awekuhimili uzazi na kuwa na nguvu nakuepuka matatizo na magojwa yanayompata kabla umri hajakongoroka

Kuhusu wazungu hata miaka 50 kwa sababu kuu ni watu wa mazoe mzungu hata akiwa na miaka 40 unaweza kusema anamiaka 29 tu

Unaonaga njisi anavyokuwa mwanamke akizaa watoto damu wanayomwaga wakati wa uzazi inawacost mwilini mwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??

Hakuna formula ya umri wa kuoa wala kuolewa dunia imebadilika sana kama bado unaishi Stone Age utaumia sana. Niko na rafiki yangu kaolewa na miaka 50 na harusi tulicheza niko na mwingine alizaa last born wake akiwa na miaka 50 sasa hivi binti yake ana miaka 12 na mama anadunda vizuri na binti ni karembo sana.
Nilikuwa na rafiki yangu yeye aliolewa na kuzaa before 30 na akafa na 38. Nilichojifunza kwenye haya maisha bila kumjua Mungu utaishi kwa shida na wasi wasi sana.
 
Back
Top Bottom