Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Duh, nyie mbona hamkutuambia sisi wakati tunaajiriwa, ila siku hizi wanataka cheti cha kuzaliwa wanalinganisha na transcript za Vyuo

Shukuru Mungu hujarudisha nyuma miaka, usiombe inatesaaa, ni zaidi ya adhabu.

Unaweza kuta mtumishi wa umma anasinzia tuu kwenye dawati, sio kama usiku halali au ana kazi nyingi nyumbani.... umriii, hapo alishatakiwa kustaafu muda mwingi tuu.

Mi najuta hapa sema tuu basi siwezi kujilipua na kiapo kuwa wakati nazaliwa walikosea kunakili mwaka niliozaliwa...
 
Sasa ukute ana 30+ hajaolewa haia neno, lakini sasa ukute watu walisha acha chata zao hapo ndio ngoma inakuwa nzito kubebeka tena
 
28-32 ndio muda wa kuwa kwenye ndoa,chini ya hapo ndoa itakua na ugomvi kila siku as mko immatured,na mkioana Zaidi ya hio age group,itakua na matatizo as well sababu ni umri wa ku focus na career/income so kubalance family life na work inakua ngumu kidogo…..nilionaga mahali sijui kama niko right..
Umejitahidi
 
Shukuru Mungu hujarudisha nyuma miaka, usiombe inatesaaa, ni zaidi ya adhabu.

Unaweza kuta mtumishi wa umma anasinzia tuu kwenye dawati, sio kama usiku halali au ana kazi nyingi nyumbani.... umriii, hapo alishatakiwa kustaafu muda mwingi tuu.

Mi najuta hapa sema tuu basi siwezi kujilipua na kiapo kuwa wakati nazaliwa walikosea kunakili mwaka niliozaliwa...
Jistaafie kes hiari kimbia kikotoo
 
Back
Top Bottom