Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??
Wanaume kinachowachelewesha kuoa ni nini

Tunataka watoto watuite babu ?
 
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??
Mbona wa kwangu ana 36 na mimi nina 35 lakini hatujaoana ndo kwanza mwaka wa 2 huu kwenye mahusiano yetu na mimi sina mtoto nae hajawahi uzaa hata kuna shida gani
 
Back
Top Bottom