Kumridhisha mwanamke ni kazi kuliko kusoma PhD 3

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
1,127
734
Kama ulikua hujui kuwa MWANAMKE huwezi kumridhisha wacha nikufahamishe. Hii hutokana na mwanaume kuhitaji vitu vingi kutoka wa mwanaume. Na vyengine hata mwanamke mwenyewe havijui huku mwanaume akihitaji vitu Vinne tu kutoka mwa mwanamke.

VITU ANAVYOHITAJI MWANAUME KWA MWANAMKE WAKE;-

1. Kupikiwa
2. unyumba
3. kuheshimiwa
4. uvumilivu.

VITU ANAVYOHITAJI MWANAMKE KWA MWANAUME WAKE;-

1. Mapenzi
2. rafiki
3. mshikaji
4. baba
5. kaka
6. mwalimu
7. boss
8. mpiganaji
9. askari
10. mlinzi
11. mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Sheikh
15. Mchungaji
16.mzee wa msikiti
17. Mzee wa kanisa
18. Daktari
19. Mpambaji
20. Mwana mitindo
21. Modo
22. Mnyanyua vyuma
23. Fundi magari
25. Mwanasheria
26. Mhasibu
27. Fundi selemala
28. Mcheshi
29. Mwanamziki
30. Muigizaji
31.shamba boy
32. Fundi ujenzi
33. Msafi
34. Unajali
35. Mzazi
36. Mlezi
37. Mvumilivu
38. Mjanja
39. Mpole
40. Mkarimu
41. Msikivu
42. Mtunza siri
43. Mkweli
44. Kiongozi
45. Tajiri
46. Mpangaji
47. Mwana michezo
48. Mtundu
49. Tegemeo
50. Jasiri
51. Mthubutu
52. Shupavu
53. Mwerevu
54. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA

55. Uwe fundi kitandani
56. Uwe unamtoa outing
57. Uwe unampa pesa za kutosha...
58. Usi msumbue sumbue
59. Usiangalie wanawake wengine

HALAFU KUNA

60. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale
61. Kumsifia alivyoumbwa
62. Kumsifia alivyopendeza..
63. Kumfungulia mlango
64. Kumshikia kipochi

PIA USISAHAU..

65. Siku yake ya kuzaliwa
66. Kumbukumbu ya ndoa
67. Siku ya Valentine

PIA

68. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping
69. Usipende kubishana nae kila kitu
70. Usisahau kumtumia na yakutolea.

Kiuhalisia hakuna mwanaume mwenye sifa zote hizo. Brother tafuta PESA acha kukaa na kuwaza kumridhisha mwanamke. Hivi viumbe huwezi kuviridhisha hata Siku Moja. Kwasababu hata wenyewe kuna muda hawaelewi wanahitaji kipi kutoka kwa mwanaume,
Ndio maana Mungu amesema tuishi nao kwa akili,
1 Petro 3:7
Kama Mungu wako kasema uishi nao kwa akili wewe ni nani hadi upinge? Tumia akili brother Mungu anawajua vizuri Wanawake kuliko wewe.

Na Tukumbuke bila Wao Cc Simalikitu na ndiyo maana tuliletewa Wao kuwa Wenza Wetu!! Tuwapende Sana
 
Kama umemchumbia kwa mda wa kutosha, mahitaji yake ni machache sana, anaezingatia upendo na kanuni za ndoa. Mwenye mahitaji mengi sio mke wako ila ni mpita njia tu.
 
Mnaacha wake mnaoa mademu Kwa kigezo Cha sura na matako halafu mnakuja kulialia humu.
Hivi mama zenu wapi hivyo??
 
Wana changamoto sana hawa wanawake. Wengine tumeamua kuwachukulia poa hatuwatimizii hayo yote na ndio maana ni wachepukaji balaa ili tu kutafuta utoshelezi lakini hawatosheki na kuridhika hata kwa michepuko yao
 
Ngoja na mm nitoe maon yangu pipa kama mr pipa we bwana ngoja nikufundishe kitu inaonekana umebalehe juz mwanamke kwa mwanaume anaitaji kitu kimoja tu unajua nini!! Zingatia hili "usioe unaempenda oa anae kupenda" wanaume wengi mnakosea hapa tu ila hamjui kama mnakosea unapooa mwanamke unaempenda ni hatar sana end the day wewe ndio unakuwa mtumwa na utaish nje ya uhalisia ili kumlidhisha na ukiish kwa kumridhisha jua umejitega mwenyewe, mwanamke inaitaji uishi nae kama kamanda sio mwanaume beib nataka hiki sawa nataka kile sawa hapo watakutesa mpakaa ukome chunguza sana ndoa ambayo mwanamke ndio kapenda afu jamaa yupoyupo tu afu ulete majibu
 
Umenena vyema mkuu, mwanaume ukiweza kwensa vice versa na ile amri ya kuwapenda basi umepona . Oeni wanawake wanao wapenda acha kujifanya unajua kumpemda mwanamke wewe mjali tuu
 
Ukitaka kumuelewa mwanamke utapotea, Cha muhimu simama Kama mume baaasi.
 
Kama ulikua hujui kuwa MWANAMKE huwezi kumridhisha wacha nikufahamishe. Hii hutokana na mwanaume kuhitaji vitu vingi kutoka wa mwanaume. Na vyengine hata mwanamke mwenyewe havijui huku mwanaume akihitaji vitu Vinne tu kutoka mwa mwanamke.

VITU ANAVYOHITAJI MWANAUME KWA MWANAMKE WAKE;-

1. Kupikiwa
2. unyumba
3. kuheshimiwa
4. uvumilivu.

VITU ANAVYOHITAJI MWANAMKE KWA MWANAUME WAKE;-

1. Mapenzi
2. rafiki
3. mshikaji
4. baba
5. kaka
6. mwalimu
7. boss
8. mpiganaji
9. askari
10. mlinzi
11. mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Sheikh
15. Mchungaji
16.mzee wa msikiti
17. Mzee wa kanisa
18. Daktari
19. Mpambaji
20. Mwana mitindo
21. Modo
22. Mnyanyua vyuma
23. Fundi magari
25. Mwanasheria
26. Mhasibu
27. Fundi selemala
28. Mcheshi
29. Mwanamziki
30. Muigizaji
31.shamba boy
32. Fundi ujenzi
33. Msafi
34. Unajali
35. Mzazi
36. Mlezi
37. Mvumilivu
38. Mjanja
39. Mpole
40. Mkarimu
41. Msikivu
42. Mtunza siri
43. Mkweli
44. Kiongozi
45. Tajiri
46. Mpangaji
47. Mwana michezo
48. Mtundu
49. Tegemeo
50. Jasiri
51. Mthubutu
52. Shupavu
53. Mwerevu
54. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA

55. Uwe fundi kitandani
56. Uwe unamtoa outing
57. Uwe unampa pesa za kutosha...
58. Usi msumbue sumbue
59. Usiangalie wanawake wengine

HALAFU KUNA

60. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale
61. Kumsifia alivyoumbwa
62. Kumsifia alivyopendeza..
63. Kumfungulia mlango
64. Kumshikia kipochi

PIA USISAHAU..

65. Siku yake ya kuzaliwa
66. Kumbukumbu ya ndoa
67. Siku ya Valentine

PIA

68. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping
69. Usipende kubishana nae kila kitu
70. Usisahau kumtumia na yakutolea.

Kiuhalisia hakuna mwanaume mwenye sifa zote hizo. Brother tafuta PESA acha kukaa na kuwaza kumridhisha mwanamke. Hivi viumbe huwezi kuviridhisha hata Siku Moja. Kwasababu hata wenyewe kuna muda hawaelewi wanahitaji kipi kutoka kwa mwanaume,
Ndio maana Mungu amesema tuishi nao kwa akili,
1 Petro 3:7
Kama Mungu wako kasema uishi nao kwa akili wewe ni nani hadi upinge? Tumia akili brother Mungu anawajua vizuri Wanawake kuliko wewe.

Na Tukumbuke bila Wao Cc Simalikitu na ndiyo maana tuliletewa Wao kuwa Wenza Wetu!! Tuwapende Sana
Arooo
 
Try to be responsible and not satisfier you can't satisfy a human being.
 
Back
Top Bottom