Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
michepuko ipo vizuri kilaHaya Best kuna mchepuko huko unafua boxer bila kulalama tena unadai kwanini ufue boxer na mimi nipo hapa. Wakati mwingine vitu vidogo vidogo kama hivyo vinajenga ukaribu wa kufa mtu. Njemba inaona mchepuko wala hatii neno kufua boxer ya njemba wakati yule mama chanja atatoa maneno utadhani kufua boxer mikono itakatika.
Sent using Jamii Forums mobile app