Kama Bado unaamini wewe ni mwafrika uliyelaaniwa,Huyo Mungu anatafutwa kwani amejificha?
Anacho jifichia ni nini? Hadi atafutwe?
Kwamba kigezo cha bara au taifa fulani kufanikiwa ni kuwa na hofu ya Mungu?
Je Ulaya na America walikuwa na hofu ya Mungu, ndicho kilicho wafanya wafanikiwe?
Una elezea nadharia zisizo na uhusiano wowote wala mantiki kwenye mafanikio ya Taifa.
HAKUNA uhusiano wowote wa Taifa kumjua Mungu na kufanikiwa.
Sina ninaloweza jadiliana nawe sababu Mimi Ni MWAFRIKA NILIYEBARIKIWA sana.