Huujui umasikini wewe, umaskini ndio chanzo cha maovu, umalaya, uchawi, wizi, utapel nk fikiri mara mbili ntu ukiwa tajir ni ngumu kufanya dhambi hizoKila Utajili anaukafili Nyuma yake
Ndo maana huwezi kumkuta mtu mwenye kufata NJIA ZA MUNGU na sheria zake akawa nimwenyepesa nyingi...
Hivi kuna mchawi kama tajiri??? Au mwizi kama tajiri anavyowanyonya wanyonge??Huujui umaskin ww umaskin ndio chanzo cha maovu umalaya uchawi wiz utapel nk fikiri mara mbili ntu ukiwa tajir ni ngumu kufanya dhambi hzo
MwambieHuujui umaskin ww umaskin ndio chanzo cha maovu umalaya uchawi wiz utapel nk fikiri mara mbili ntu ukiwa tajir ni ngumu kufanya dhambi hzo
Kila Utajili anaukafili Nyuma yake....
Siping hilo ni sawa lakini pia sindano iliotajwa hapo si hizi za kushonea nguo, ni zile kubwa zinazofungwa kwenye nanga za meli au bandariKamba inayotajwa hapo sio kamba hizi za kawaida, Bali hiyo "camel" ni kamba zile kubwa sana nene za kusokotwa zilizotumika hasa kufungia majahazi (dhow) bandarini,
Jamaa unatetea ugaliAlikuwa ngamia mnyama, si kamba. Sindano lilikuwa lango dogo kwenye lango kubwa (eye of of a needle). Miji ya zamani, hususan Mashariki ya Kati, ilikuwa inazungukwa na ukuta na kuwa na lango moja kubwa la kutokea na kuingilia, kama ilivyo sasa nyumba zina kuta na milango ya kuingilia na kutokea (gates)..
Ndugu usisikilize sana stpr za vijiwen piga kaziHivi kuna mchawi kama tajili??? Au mwizi kama tajili anavyowanyonya wanyonge??
We unadhani kwanini Yesu alimwambia Yule tajili awagawie malizake zote maskini kisha amfate??
Ni kweli mkuu, Uko sahihi,Siping hilo ni sawa lkn pia sindano iliotajwa hapo si hz za kushonea nguo ni zile kubwa zinazofungwa kwenye nanga za meli au bandar
Ndio maana nikasema ni rahis kamba kupenya kwenye tundu la sindano km zinawiana
Jamaa unatetea ugali
Unaelewa alichokifafanua MkuuJamaa unatetea ugali
Nilijua ww padriUgali upi tena?! Na nawezaje kutetea ugali wa mahindi ninayolima mwenyewe na/au kufanya kazi zangu binafsi?
Unaelewa alichokifafanua Mkuu
au umeamua kujitia ganzi kwenye ubongo.
Nilijua ww padri