Ni pombe gani ya kienyeji unaikubali kupita zote?

Kwa wale wazee wenzangu tuliokulia kijijini,vitu vya kienyej tumepitia. Sasa we unahis kipi cha ukwel? Mie japo sio mhehe ila jamani 'ULANZI' mtamu. Yan kila unapopiga funda utamu unaongezeka huku na wewe unalewa taratiiibu!

kwa wale wanaojua, uwulasi wunono, ulanzi ndo the best,
 
Hakuna mfano, "Mbege", wakati nipo Msh niliikubali. Watalii waliionja wakazamia full. Ni tofauti kabisa na hizo za ulanzi, chimpum, p, pingu n.k. Nilippokuwa Mbeya na Iringa, pombe zao hazifui dafu kwa Mbege. Hata hapa Dar ipo na huwa mara mojamoja tukiwa na hama tunaifuata, ukichelewa mpaka saa nane huikuti, wameshafuta.
 
jamani ninyi watu mbege mmeiacha wapi??? Hakuna mfano wa pombe safi ya kienyeji kama mbege,,,,nenda moshi au njoo arusha uulize.. Kila siku toyota stout za kina mzee massawe na uriyo zinatoka uko kibosho, oldmoshi na machame kuleta mbege arusha

Nipo hoi hakyAmungu umenichekesha!!!
 
Kangala, pombe inatokana na pumba ya mahindi maarufu sana pale iringa. Inamafuta kibao, yaani we acha tu.
 
Mie nadhani 'chang'aa' ndio balaa babake...uliza uambiwe, kwa jamaa zetu kenya, hadi viti moto na nyang'au yakiifuma huinywa, na kuwa mbendembende..! Changaa nomaa!
 
kuna kitu inaitwa mtukulu toka singapore pale tetesi wanadai huwa inaungwa na k*mba kuongeza utamu:juggle:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom