Ni noma

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
1.Jamaa alimpa lift dada, ikawa kila akibadili gia mkono unagusa paja la yule ddemu, basi yule dada akawa analalamika na kusema "kasome mathayo7". . .jamaa akaogopa na kuacha, kufika home tu jamaa akakimbilia biblia kufungua akakuta imeandikwa "Ombeni nanyi mtapewa

2.Jamaa mmoja alikuwa ameipenda sturi ambayo alitaka aendekuonesha sampo kwa fundi akamwambia unitengenezee kama hii hii kumbe ile sturi ilikuwa imekatika mguu mmoja,kweli fundi aliitengeneza naye akavunja mguu mmoja mwenye sturi akaja akashangaa kuona imevunjwa mguu alipo ulizwa akajibiwa kuwa mbona nawewe ulileta sturi ambayo ilikatika MGUU

3.Jamaa mmoja alisafiri na kasuku wake kwenda mombasa. .Watu kwenye bus wakatia story za ubasha huko mombasa, kasuku anasikiliza tu. jamaa kuona kasuku wake amenyamaza. .Akapeleka mkono bika kuangalia, mara akamshika **** yule kasuku. .kasuku akaruka. .JEH! JEH! TUSHAFIKA MOMBASA!!

4.Jamaa mmoja mwenye kipara sugu aliambiwa ili aote nywele ni sharti atafute malaya akisugue kipara chake akajibu, "ingekua ni kweli basi ulimi wangu ungekua na afro."

5.Kuna panya alikua akisumbua watu kwenye nyumba moja. Wakaamua kumtilia sumu kwenye nyama ya nguruwe. Siku ya pili panya aliwacha notice: oe sote waislamu hatuli nguruwe.

6.Jamaa ana kigugumizi akapewa muwa ale akajibu, "si. . .si. . .siwezi. . .****. . .****. . .liza, ni. . .ni. . .na. . .uboo. . .uboo. . .ubovu. . .wameno. . .labda. ... .tuu. ... tuuka....ka.......KATIANE!"
 
Hiyo namba 6. Mara akatokea kibogoyo mwengine,jamaa akawauliza,je huu muwa niwape Mkatiane au wote Mkatiwe? Nalog off
 
1.Jamaa alimpa lift dada, ikawa kila akibadili gia mkono unagusa paja la yule ddemu, basi yule dada akawa analalamika na kusema "kasome mathayo7". . .jamaa akaogopa na kuacha, kufika home tu jamaa akakimbilia biblia kufungua akakuta imeandikwa "Ombeni nanyi mtapewa

Mh aliposoma alikurupuka na kutoka nje, wacha amtafute yule dada!
Hahahahaaaaaaaa!!!! It's fun

3.Jamaa mmoja alisafiri na kasuku wake kwenda mombasa. .Watu kwenye bus wakatia story za ubasha huko mombasa, kasuku anasikiliza tu. jamaa kuona kasuku wake amenyamaza. .Akapeleka mkono bika kuangalia, mara akamshika **** yule kasuku. .kasuku akaruka. .JEH! JEH! TUSHAFIKA MOMBASA!!

Ha! Vipi hakuanza kuropoka?...
Teh teh tehe!!!

4.Jamaa mmoja mwenye kipara sugu aliambiwa ili aote nywele ni sharti atafute malaya akisugue kipara chake akajibu, "ingekua ni kweli basi ulimi wangu ungekua na afro."

Uwwwwiiiiiiii!!! makubwa!!!
 
Back
Top Bottom