Ni nini?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Samahani wajumbe nahitaji kujua kuhusiana na hili nilikuwa katika mjumuiko wa watu tukiwa tumeketi na kutulia kimya tukisikiliza matangazo ghafla kuna mtu alikuwa jirani yangu aligeuza shingo na kuanza kupiga kelele kwa muda wa sekunde kadhaa kisha akatulia na kurejea katika hali yake ya utulivu mimi nilidhani labda ana kifafa na kupiga kelele nikajua ni dalili za mwanzo lakini haikuwa hivyo. Kwa yeyote aliye na mawazo kuhusu hali hii naomba kufahamishwa!
 
inaweza kuwa aina flani ya kichaa ama psychological problem. kama ungeweza kumuhoji alijskiaje mara baada na kabla ya kupiga ukelele ingesaidia kuelewa tatizo li wapi. inawezekana alikumbuka kitu cha kutisha. kinda strange though...
 
Hukukosea ulipohisi kuwa ni kifafa, zipo aina nyingi za kifafa. kinachojulikana na watu wengi ni kile kikubwa ambacho mtu anaanguka, anajipigapiga chini kisha anapoteza fahamu na wakati mwingine anatokwa na choo kidogo. lakini vipo vifafa vya aina nyingi ambavyo kwa mtu wa kawaida ni vigumu kuvijua. Nakushauri mpeleka hospitali haraka.
 
inaweza kuwa aina flani ya kichaa ama psychological problem. kama ungeweza kumuhoji alijskiaje mara baada na kabla ya kupiga ukelele ingesaidia kuelewa tatizo li wapi. inawezekana alikumbuka kitu cha kutisha. kinda strange though...
<br />
<br />
kumuhoji kiukweli ilikuwa ngumu sina undugu naye afu pia niliogopa na ilikuwa vigumu sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom