Ni nini tofauti ya Mwanausalama na Askari wa Upelelezi?

mkuu, kwa mfano KGB ya zamani ya USSR, intelligence officers walihakikisha hawajuani wote, huwa wanafanyiwa recruitments kwa mafungumafungu (strict compartmentalization) na hautakiwi kumuuliza mwenzako jina lake wala wewe kutaja jina lako. Wakufunzi wa KGB walikuwa wanawapa watu majina mapya wanapokuwa katika chuo cha mafunzo huko Moscow, Ukraine ama Poland, na kuhakikisha hakuna watu wa kutoka taifa moja wanaoruhusiwa kukaa pamoja, yani kulikuwa na watu kuchanganywa changanywa ili kuzuia watu kuwa wanakula njama........!!!!!
Asante Infantry,hapa umefafanua zaidi kuhusu Usalama peke yake yaani unazungumzia taasisi moja kati ya mbili nilizokuuliza,hapa unazungumzia Wanausalama zaidi kama sikosei,mimi nataka tu kujua tofauti kata ya WANAUSALAMA WA TAIFA na WAPELELEZI (CID) ingawa umekwisha nieleza huko juu.Au unataka kuniambia kuwa Wanausalama wametengwa na CID ili wasijuane? wakati utaalamu wao ni uleule au utaalamu unatofautiana?
Ona sida yangu nilkiua naamini kuwa hawa wana mafunzo yanayofanana ili kugundua yaliyojificha.Mfano majambazi kabala na baada ya kufanya uhalifu hujificha na kufanya siri kubwa,wauza unga hufanya siri kubwa,magaidi hufanya siri kubwa,lakini ama Wanausalama ama CID huingia field kufuatilia na mara nyingi wahalifu hudakwa,hii sio lazima iwe kwa hapa kwetu inaweza kuwa hata Europe n.k lakini inaonesha nature ya kazi za wakubwa hawa ni kufuatialia kwa siri mipango ovu ya siri.Hivyo ndivyo nilivyokua najichanganya kabla ya maelezo yako huko juu.
 
Mkuu Infantry,ona tena ninavyojiulizaga,
Natambua Jeshi la Ulinzi popote duniani huwa na mafunzo yao peke yao.
Lakini huwa nadhani au nafikiri hivi,POLISI,FFU,MAGEREZA,TRAFIC hawa husoma pamoja halafu wana specialise kwenye fani husika.Hivyo na hawa Makachero nao husoma pamoja halafu hu specialise kwa IO na CIDs.Hapa pia hujichanganya na kufananisha na Daktari wa kutibu,akisoma pamoja na daktari vipimo akisoma pamoja na daktari madawa wote chuo kimoja ingawa fani tofauti.hii yote ilikua inanichanganya tu
 
Asante Infantry,hapa umefafanua zaidi kuhusu Usalama peke yake yaani unazungumzia taasisi moja kati ya mbili nilizokuuliza,hapa unazungumzia Wanausalama zaidi kama sikosei,mimi nataka tu kujua tofauti kata ya WANAUSALAMA WA TAIFA na WAPELELEZI (CID) ingawa umekwisha nieleza huko juu.Au unataka kuniambia kuwa Wanausalama wametengwa na CID ili wasijuane? wakati utaalamu wao ni uleule au utaalamu unatofautiana?
Ona sida yangu nilkiua naamini kuwa hawa wana mafunzo yanayofanana ili kugundua yaliyojificha.Mfano majambazi kabala na baada ya kufanya uhalifu hujificha na kufanya siri kubwa,wauza unga hufanya siri kubwa,magaidi hufanya siri kubwa,lakini ama Wanausalama ama CID huingia field kufuatilia na mara nyingi wahalifu hudakwa,hii sio lazima iwe kwa hapa kwetu inaweza kuwa hata Europe n.k lakini inaonesha nature ya kazi za wakubwa hawa ni kufuatialia kwa siri mipango ovu ya siri.Hivyo ndivyo nilivyokua najichanganya kabla ya maelezo yako huko juu.
mkuu, kwa uelewa wangu mdogo kama hizi ndio tofauti chache sana kati ya idara hizi mbili:
*** usalama wa taifa wapo chini ya wizara ya utawala bora, wakati criminal investigation department (CID) ni idara ya upelelezi wa makosa ya jinai iliyo ndani ya jeshi la police, chini ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi.
*** intelligence officers operate under shadow like ghosts (hawapaswi kujitangaza kazi zao), wakati CID wao ni police tu wa kawaida na wanajulikana hata katika jamii hususani yanapotokea matukio ya kihalifu.
*** intelligence officers kazi zao ni nyingi mno kulingana na kitengo alichopo ikiwemo ya kukusanya taarifa zitakazowezesha kuzuiwa kwa matukio ya kihalifu kabla ya kutokea, lakini CID wanakuwa na kazi ya kukusanya taarifa baada ya tukio kutokea ili kukusanya ushahidi utakaowezesha wahusika kufikishwa mbele ya mahakama.
*** intelligence officers na CID officers wana-share taarifa za kiusalama kwa maana lengo lao ni moja tu nalo ni kuhakikisha nchi inakuwa salama siku zote (24/7/365 days a year).
***intelligence officer (akiwa nje anaitwa spy) hufanya kazi ndani na nje ya nchi kwa kukusanya taarifa zitakazoiwezesha serikali kufanya maamuzi yaliyosahihi na kwa wakati muafaka, wakati CID officers hawa ni police na kazi zao ni ndani ya mipaka ya nchi yetu tu!!!!!!
 
NINI MAANA YA KUVAA MIWANI YA JUA JAMAA WAWAPO KAZINI TUKIACHA ILE KAZI MAALUMI YA YA KU TAKE PICHA NA KUREKODI SHORT CLIPS?
mkuu kulingana na ujuzi wangu mdogo, wanasemaga miwani meusi ya jua inamsaidia yule mlinzi wa kiongozi to screen through the population (wale wanaomsalimia kiongozi) bila ya hao watu kumjua kama anachezesha macho kushoto kulia ili kugundua suspicious behaviors za watu katika kundi hilo wenye nia mbaya na kuweza kuchua hatua mapema na kuzuia tukio baya la kumdhuru kiongozi kabla halijatokea!!!!!!
 
mkuu kulingana na ujuzi wangu mdogo, wanasemaga miwani meusi ya jua inamsaidia yule mlinzi wa kiongozi to screen through the population (wale wanaomsalimia kiongozi) bila ya hao watu kumjua kama anachezesha macho kushoto kulia ili kugundua suspicious behaviors za watu katika kundi hilo wenye nia mbaya na kuweza kuchua hatua mapema na kuzua tukio baya la kumdhuru kiongozi!!!!!!
Ahaa sawa mkuu na vipi nasikia pale wanakuwa full equiped with deadly weapons ambazo baadhi ni wearable kama pete zenye ncha kali na zenye sumu au zilizo chomelewe kitu mfano wa kisu chenye ncha kali tukiacha common tools kama bastola n.k?

Kama ni kweli silaha nyingine ni zipi mkuu..
 
Back
Top Bottom