lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,472
Swali langu siulizi kwa mazingira ya Tanzania tu, bali linaweza kuwa hata kwa nchi zingine.
Kuna tofauti gani, kimafunzo, kimbinu na kimajukumu kati ya Maafisa Usalama wa Taifa (IOs) kwa nchi yeyote na Maafisa upelelezi wa Polisi(CID kwa nchi yeyote. Kwa sababu mie huwa naona kama wote wako sawa tu ila ofisi tofauti.
Naona kama kazi zao zinafanana.Tofauti zao ni zipi,zipo ama hazipo.Unaweza kunijibu kwa kutumia hata mifano ya nchi nyingine.
Tanzania kuna Usalama wa taifa,kuna Polisi CID nini tofauti, kikazi, mafunzo, mbinu na majukumu au hakuna.
UK kuna MI6,Scotland Yard n.k.
Naomba kuelimishwa kama haitaathiri miiko ya kazi.