Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,880
labda kwa kuongezea tu mkuu, labda niseme ya kwamba, dhana ya usalama wa taifa huwa ni pana sana na ni zaidi ya vitisho vya ugaidi ama uvamizi kutoka nchi zingine. Idara za ujasusi katika nchi nyingi kama vile marekani na russia, hutumika katika kukusanya taarifa zinazoiwezesha watumishi wa serikali (huwa wanaitwa policy makers) katika kutunga sera za nchi kiuchumi, sera za mahusiano ya nchi za nje, sera za kijamii na hata kisiasa pamoja na kufanya maamuzi yaliyo sahii kwa mslahi mapana ya taifa.Swali langu siulizi kwa mazingira ya Tanzania tu, bali linaweza kuwa hata kwa nchi zingine.
Kuna tofauti gani, kimafunzo, kimbinu na kimajukumu kati ya Maafisa Usalama wa Taifa (IOs) kwa nchi yeyote na Maafisa upelelezi wa Polisi(CID kwa nchi yeyote. Kwa sababu mie huwa naona kama wote wako sawa tu ila ofisi tofauti.
Naona kama kazi zao zinafanana.Tofauti zao ni zipi,zipo ama hazipo.Unaweza kunijibu kwa kutumia hata mifano ya nchi nyingine.
Tanzania kuna Usalama wa taifa,kuna Polisi CID nini tofauti, kikazi, mafunzo, mbinu na majukumu au hakuna.
UK kuna MI6,Scotland Yard n.k.
Naomba kuelimishwa kama haitaathiri miiko ya kazi.
Hakuna mipaka ya ukusanyaji wa taarifa sahihi kwa Intelligence officers as long as hizo taarifa zinahitajika na ni muhimu katika kuiwezesha serikali kufanya maamuzi zitafuatwa popote pale zilipo na kwa gharama yoyote ile.
Kwa upande mwingine jeshi kama taasisi binafsi ya ulinzi na usalama nalo huwa lina idara yake maalum ya kukusanya taarifa ndani na nje ya nchi kwa matumizi ya kijeshi tu (military intelligence)
-----------------------------------------------------------------------------------