Ni nini maana yake?

Ni nini maana yake?

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
1,561
Reaction score
1,319
Wana bodi, hawa vijana wa kisasa au mjini wana misemo yao wanaita kuntu, sasa katika pitapita zangu nikamsikia kijana mmoja anakawa anamjibu mwenzake kwa ukali eti "hujielewi wewe kama nyuchi chakavu". Hapa nimejiuliza maswali kibao nini maana ya nyuchi chakavu? na kipimo gani hutumika kutambua huu uchakavu? na mechanism gani itumike ili kuikarabati kutoka uchakavu hadi kurudia hali yake? swali la mwisho je kuna uchakavu wowote wa kisiasa tanzania?
 
Nyuchi chakavu ni nyuchi iliyochakaa. Sababu zinazoleta uchakavu huu ni umri, matunzo mabaya, matumizi mabovu na nyinginezo.
 
Back
Top Bottom