kuna kitabu kinaitwa "Tendo la ndoa", mwandishi simkumbuki ila ukienda katika maduka ya Christian books utakipata, kipo vizuri mno kuna mengi sana yamefundishwa, na inaonekana mitazamo tofauti juu ya tendo la ndoa, wapo wanaoamini ni kuingiza na kutoa akishaejaculate ndio basi mwanamke ameridhika au la yeye hajali, au staili tofauti tofauti hazimuhusu tena ni dhambi....
kikubwa nataka nikwambie sex haina kuchelewa au kuwahi, haina tuition au uzoefu. kikubwa ni kuadopt new techniques kila siku. pia kuna supplement materials pamoja na tutorials za video. jiweke updated kwa kupitia vitu kama hivyo.....